Mji mzito huu part 2

Mji mzito huu part 2

Ndo ivo itabidi wakubaliane na ukweli na uhalisia ulivyo, ila hii dhana potofu na mtazamo hasi hapana inaumiza wahusika kwa kweli. Mie najua hali ilivyo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Unajua kwasababu na ww ni punga tena wa kujitakia,usisingizie homon imbalance
 
Hiyo avatar n msanii wa kike, sasa hizo fikra na mtazamo wako umetoa kwa indicator ipi kweny hii avatar angu? Na una amini vp maneno ya mtu ambaye hana ufahamu na mie? Poleeeeh sanaaaah, zijadiliwe hoja za msingi kwa suala husika sio maisha ya mtu binafsi.
Sawa mkuu,,usihofu tupo pamoja
 
Hebu kua muelewa mkuu, ndo maan nmekuambia kuwa hizo n logic za watu kua kwamba mtu akiwa na element tofauti na jinsia yake bas n Gay, kumbe suala haliko hivyo,

Homornal imbalances haihusian na Gay, ila watu ndio wanaolazimisha iwe hivyo. Na nnachosema nna uhakika nacho wala sizungumzi ili mradi, mtu kuwa na saut ya ke, kutembea na umbo wala sio indicator ya Gay, jua kabisa n hormonal products, sasa n uamuzi wa muhusika kujua mlengo wake uko wapi, na sio watu waka hitumisha hivyoo mmmmh,

Huko ulaya watu hawwchukulii uzito san hili suala, it seems muhusika anajua the way him are,

Sasa huku kuna logic za hovyooh unakuta mtu ana elements tofaut na jinsia yake, ila hafany mapenzi ya ya jinsia 1, lakin jamii inamchukulia negative way, kumbe uhalisia n tofauti.

Tuache fikra potofu na mtazamo hasi juu ya Genes za watu.
Exposure ikikosekana watu wanajiropokea tu bestie.
 
Yupo mmoja jina linaanzia J..aisee..nilimsikiliza sauti yake kwenye kipindi redio fulani cha kuchamba wanawake ,aisee!..hapana mwanaume kamili haongei vile,,yupo na mmoja anajiita doctor nae mapozi yake sio ya u rijali,, lazima wanaumizwa tu....hakuna jinsi
Ila mnakosea sana kuwa kuhukumu watu ambao hamuwajuhi vizuri.
 
Nakuonea huruma mtt wa kiume kupumuliwa kisogoni man
Wee mwenyewe hujionei huruma ndo uonee wenzio? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] aseeeeeeh kuna vichekesho San, weeee deal na maisha yako hatujuani humu lol.
 
Wee mwenyewe hujionei huruma ndo uonee wenzio? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] aseeeeeeh kuna vichekesho San, weeee deal na maisha yako hatujuani humu lol.
Tena uache mazoea ya kuniquote pungasese wewe [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Tena uache mazoea ya kuniquote pungasese wewe [emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu relaaaaaaaaaax, weeee vepeeeeh lol, kwa kipi sasa niku quote? Kaaaa kwa kitulia tyuuuh hakna namna.
 
Back
Top Bottom