Mji mzito huu part 2

Mkuu unaongea kwa uchungu sana. Sorry to ask this, una first hand experience nini?
Hata sio ajabu, a co proud the way am, mie n m1 wa hii situation, hapana kwa kweli aaaaaaah jamii haiko fair kabisaaah,
 
Reactions: amu
Mkuu upo so wrong ,,najuwa kwamba wapo watu wana homoni za kike,,,sikukatalii,,lakini yapo madume yamekomaa kabisa,, na sauti nzito,,lakini jinsi anavyoongea na jinsi anavyotembea ,,ni ishara tosha kwa mende kumtambua shoga,,,na lazima ujuwe kuwa sauti na kuongea ni vitu viwili tofauti,,mwanaume anaweza akawa na sauti nyembamba lakini akaongea vyema kabisa,,bila kumuhisi jambo lolote la ushoga kwake,,na kuna mwanaume ana sauti nzito kabisa lakini jinsi anavyoongea kila mtu atashika kichwa,, kwamba huyu kuna ulakini,mwanaume rijali hawezi kuongea kwa style ile.. Mapozi ,,kurembua macho,,zipo ishara nyingi mkuu wanazofanya ,mkuu wewe huwezi kuwatambua,,sababu hujawafuatilia.
Hebu siku ukimuona shoga yeyote,,mfuatilie anavyoongea,,anavyocheka,,anavyopozi utagundua kitu..
 
Nasemea kuhusu Yule mtangazi uliemsema mkuu
Yupo mmoja jina linaanzia J..aisee..nilimsikiliza sauti yake kwenye kipindi redio fulani cha kuchamba wanawake ,aisee!..hapana mwanaume kamili haongei vile,,yupo na mmoja anajiita doctor nae mapozi yake sio ya u rijali,, lazima wanaumizwa tu....hakuna jinsi
 
Huyo dokta nampata ni choko bila kipingamizi, Ila huyo J sijamsoma probably sababu sio mpenzi wa locat stations.. naskiliza podcasts mostly, nipe code mkuu
 
Huyo dokta nampata ni choko bila kipingamizi, Ila huyo J sijamsoma probably sababu sio mpenzi wa locat stations.. naskiliza podcasts mostly, nipe code mkuu
Nitaku pm jina la huyo J mtangazaji,,kuepuka mende kuanza kumsumbua..ila ni shoga straight,,
 
Mkuuu usidhani mie nazungumza tyuuuh ili mradi na uhakika na nnajua in and out kuhusu masuala haya,

Kuhusu the way kweny kuongea pia hauko correct kwani sio wote wanao ongea the way az a ke bas n Gay, wee unafuata logic za kusema kuwa me nweny matendo ya ke bas n Gay, sasa mtu body system yake hormonal imbalances unategemea at a reform vp km sio vichocheo ndo vinavo relate kweny action,? Ili hali hafanyi sex orrients km ke.

Narudia tena jamii ndyo inayokuwa na mtazamo hasi na fikra potofu juu ya suala hili. Ila kiuhalisia n tofauti kabisaaa,

Kweny masuala haya najua A-Z wala hakuna kinachonitatiza, by the way mie mwenyewe n mfuatiliaji wa kutukuka, na nikuambie tyuuh mie namjua mtu yeyote ambaye n Gay kwa kumuona hata yule ambaye haoneshi indicator, it seems yupo straight forward, tena hadi rolle anayo play naitambua.

Na nikupe siri Dunia ya saiv Gays wengi n hawa ambao wanaonekana straight kwahyo kuwatambua kirahisi ni vigumu, ila mie mjuzi wala sipati shida nikimuona naelewa tyuh kuwa huyu yupo LGBT.
 
Wewe wenyewe ktk Avatar zako inaonyesha unaliwa ndio maana unayajua A-Z,badilikeni muifuate huruma ya Mungu .Mungu ana kupenda,mtoto wa kiume kuwa kama mwanamke Mungu hapendi.
 
Wewe wenyewe ktk Avatar zako inaonyesha unaliwa ndio maana unayajua A-Z,badilikeni muifuate huruma ya Mungu .Mungu ana kupenda,mtoto wa kiume kuwa kama mwanamke Mungu hapendi.
Ahsante kwa mtazamo na hoja yako, ila maisha ya mtu mwingne huusiki nayo wala hayaku athiri chochote, live ur own life.
 
Ahsante kwa mtazamo na hoja yako, ila maisha ya mtu mwingne huusiki nayo wala hayaku athiri chochote, live ur own life.
Nililitarajia jibu lako,siku shangai at the end of day MUNGU ANAKUPENDA HUJACHELEWA UNAWEZA BADILIKA.
 
Wote hao wanashikishwa ukuta sana tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ngoja nivute kiti nikae hapa maana uzi umenoga.[emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…