Mji mzito huu part 2

Kumbe wewe ni msela na kuna uzi ulisema ushaganyonywa Tigo duh!
Naongelea suala la Gayism, wala hakuna anaenijua humu na kujua jinsia yangu, na sio kila kinachoandikwa n ukweli, ts JF don't take serious, relaaaaaaaaaaaaaaaaaaax
 
Utakuwa unakatwa mwanangu sema acha blood
 
Hata ikiwa hivyo wee una athiriwa kipi? Kila mtu a deal na mlengo wa hisia zake, hakuna kupangiana, live ur own life. Khaaaaaaaah
 
Sawa kaka nakuombea uhai kwenye nyama damu na mifupa
 
Wewe wenyewe ktk Avatar zako inaonyesha unaliwa ndio maana unayajua A-Z,badilikeni muifuate huruma ya Mungu .Mungu ana kupenda,mtoto wa kiume kuwa kama mwanamke Mungu hapendi.
Mkuu ,,ni hatari,, hata mm napata mashaka sana na avatar yake,,,bila shaka ni kitafunwa
 
Naongelea suala la Gayism, wala hakuna anaenijua humu na kujua jinsia yangu, na sio kila kinachoandikwa n ukweli, ts JF don't take serious, relaaaaaaaaaaaaaaaaaaax
Mkuu nimeiangalia hyo avatar yako kwa kifupi umesjanitengua udhu..mkuu wewe ni mbigili straight
 
Hata ikiwa hivyo wee una athiriwa kipi? Kila mtu a deal na mlengo wa hisia zake, hakuna kupangiana, live ur own life. Khaaaaaaaah
Tunapoteza nguvu kazi za taifa,,,na pia kizuri kula na mwenzio mkuu,,nipokee pm tuyajenge.
 
Hapa tunajadili suala la gayism na hormonal imbalances, kuhusu hayo mengine mie sihusiki na sihitaji. Zijadiliwe hoja na sio personal attacks.
 
Mkuu nimeiangalia hyo avatar yako kwa kifupi umesjanitengua udhu..mkuu wewe ni mbigili straight
Hiyo avatar n msanii wa kike, sasa hizo fikra na mtazamo wako umetoa kwa indicator ipi kweny hii avatar angu? Na una amini vp maneno ya mtu ambaye hana ufahamu na mie? Poleeeeh sanaaaah, zijadiliwe hoja za msingi kwa suala husika sio maisha ya mtu binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…