Mji mzito huu part 2

Mji mzito huu part 2

Wee mwenyewe hujionei huruma ndo uonee wenzio? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] aseeeeeeh kuna vichekesho San, weeee deal na maisha yako hatujuani humu lol.
Mkuu
Naona hiyo statement ya "hatujuani humu" ,unaipenda sana kuitumia katika kuji defend, why dont u open up ?
 
Mkuu
Naona hiyo statement ya "hatujuani humu" ,unaipenda sana kuitumia katika kuji defend, why dont u open up ?
Niwe open ki vepeeeh labda? Mie nachangia mada kwa hoja, sasa wakiishiwa wanaleta personal attacks, khaaaaaah,
Haya hata km ikiwa hivyo kadri ya mitazamo na fijra zenu kwan nyie mna athirika kipi? Maisha ya mtu binafsi ni yake acheni kuleta judges zisizo na msingi.
 
Of course siwez kuwatambua hadi nikutane nao live
Duu..basi mkuu nakupa code zao Leo,,
The way they speak
The way they laugh
The way they walk
The way they dress
Are the same...duniani kote mkuu,,,fuatilia hilo..
 
Niwe open ki vepeeeh labda? Mie nachangia mada kwa hoja, sasa wakiishiwa wanaleta personal attacks, khaaaaaah,
Haya hata km ikiwa hivyo kadri ya mitazamo na fijra zenu kwan nyie mna athirika kipi? Maisha ya mtu binafsi ni yake acheni kuleta judges zisizo na msingi.
Hakuna hasiyejua kwamba hatujuani, japo hii rule hai apply kila mahali, mimi wapo watu kadhaa ninaowafahamu humu.

So muhimu ni kutetea kila unachokiamini kwa nguvu zote, usipende sana kutumia hali ya kutojuana kama excuse.

Wewe ni me au ke.
 
Km hapa JF kuna unao wafahamu n wee na sio me, na ndio maan ktk kuchangia mada kwangu huwa natoa hoja zenye mashiko na nazitetea kwa uhalisia, wao wakiishiwa wanaleta persnal attacks,
By the way huwa napita nao vile wanavotaka, khaaaaaaah.
 
Pole sana.
 
Kuna project moja nilifanya na taasisi moja ya afya , ilikuwa Ni kukusanya data kutoka kwa watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja pamoja na wanaofanya biashara ya ukahaba.

Ingawa tulilipwa pesa nzuri ila nilijifunza mengi mno! Na ninaweza kusema huko tuendako Hali itakuwa mbaya Sana

Na sababu kubwa Ni dunia inaenda Kasi sana,kutokana na uchumi na Hali ilivyosasa wazazi wapo busy kwenye kutafuta maisha hvyo kupunguza muda wa kukaa na watoto

Lakini pia mitandao ya kijamii inachangia kwa kiasi kikubwa kubadilisha fikra kwa haraka sana hasa kwa vijana wanaopevuka...kumbuka hii mitandao ya kijamii Ni kitu kigeni kwa dunia nzima sio Africa tu...
Kumbuka haya Mambo yalikuwepo kitambo sema taarifa zilikuwa hazisambahi kirahisi ila kwakuwa Leo dunia Ni Kijiji ndio maana tunayaona haya Mambo yameshamiri.

Pia tumeona Sanaa hasa kwenye hizi movie hasa za ulaya ambazo Ni pendwa,asilimia 70 lazima utakuta hayo Mambo..

Kwa hyo jamii inapaswa kukaa karibu na watoto katika malezi....hapo zamani familia nyingi mama alikuwa anakaa nyumbani baba anaenda kutafuta

Mungu anusuru taifa letu bado tunasafari ndefu
 
Back
Top Bottom