Mji mzito huu

Natamani kuelewa... Ila nimepotea kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mambo ya kutisha na kuogopesha ni yapi binamu?

Au alijiunga na brotherhood?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi kichwa kizito nimeelewa. Ila jamani kwa ayyo imenisikitisha.mkaka mtulivu. Mimi nilijua pearl katulia tu baada ya matatizo kumbe anapitia mengi. Inabidi aendelee tu kuvumilia maana asomeshewe mdogo wake alishwe yeye na mama mtu .kuwa tegemezi ni jambo baya sana
 
Kuna vitu vingine vinatia hadi wasiwasi

Dj dommy kaenda mjengoni kavuta mke ndani,Kenedytheremedy kavuta mke,Dj Zero kavuta mke,Adam ana jiko..wewe upoupo tu,lazima watu wawe na mashaka

Anyway,watajua wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23] jmn mbona siku ya wapendanao alimpost demu wake

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
Shikamoo JF nimepitia comments mwanzo mwisho mpaka na mimi nimeweza kun'gamua hizo code japo kidogo, bila shaka kama ndio hivi shetani huko alipo hata yeye anaogopa duu!
 

Binti ana jina kubwa nchi hii, akiamua kusimama mwenyewe anaweza tatizo status mama, status!
Anapenda mambo makubwa ndio inabidi avumilie yote... imagine amtoe dogo Feza leo hii ataweka wapi sura yake mjini?

Mimi yale meno naamini anapigwa kweli, tena kapigwa ngumi nzitonzito haswaaa.
Angekuwa na meno mabaya tungemuelewa lakini sio kwa meno mazuri yale...

Kuna wengine wanasema alidondoka kule jela [emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haahaha Nifah nimekushindwa nakugawa mama.........etiiii........ U- CEO nao kaufanyia mambo?! Kweli mji mzito

Hahaaaaa acha tu wambea tuna mengi mwenzangu!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ahahaha et sitapata usingiz, umenivunja mbavu , huu ubuyu ntapost usiku saa nne Leo


Sent from my iPhone using JamiiForums

Binamu sasa ukeep promise yako bhana, nitakuwepo tuumung’unye ubuyu sie [emoji1362]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…