Mji mzito huu

Mji mzito huu

Natamani kuelewa... Ila nimepotea kabisa
Hata mimi nikadhani ameamua kuwa humble kwa ile kesi iliyomkuta kumbe wapi shoga! Nasikia bwana bahili hatariiiiiiii

Na nasikia anamtisha kwa jinsi alivyomsave na kifungo, hivyo binti inabidi awe mpole.
Ni wazi hana furaha, binti sio yule tunayemjua aliyekuwa na nuru na tabasamu tele.

Mwenzio huku JF ndipo ninapoweza kutoa nyongo ila kule naogopa block. Na huwa anafuatilia kila comment [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku pia lazima anapitaga.

Karma shoga, karmaaaaa
Yule mke wa Seth aliniuma mnooo! Dada lizuri hatari mume akawa hasikii haoni kwa binti.
Ila alimkomesha kwa kumnyang’anya lile livogi maana tungekoma.


Kwani vile vyuma mdomoni kunani shoga?


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mambo ya kutisha na kuogopesha ni yapi binamu?

Au alijiunga na brotherhood?
Zaman alikua anauza ule unga haramu Ila akaacha, akaja kujiingiza kwenye mambo ya kutisha na kuogopesha , yan watu waone tu watu wana pesa , mkijua chanzo chake hamtaamini

Nilitaka kumwaga ubuyu wote Ila ngoja tu nimsitiri kwa kuwa hanaga shida na mtu kwenye ulimwengu unaoonekana


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi kichwa kizito nimeelewa. Ila jamani kwa ayyo imenisikitisha.mkaka mtulivu. Mimi nilijua pearl katulia tu baada ya matatizo kumbe anapitia mengi. Inabidi aendelee tu kuvumilia maana asomeshewe mdogo wake alishwe yeye na mama mtu .kuwa tegemezi ni jambo baya sana
 
Kuna vitu vingine vinatia hadi wasiwasi

Dj dommy kaenda mjengoni kavuta mke ndani,Kenedytheremedy kavuta mke,Dj Zero kavuta mke,Adam ana jiko..wewe upoupo tu,lazima watu wawe na mashaka

Anyway,watajua wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23] jmn mbona siku ya wapendanao alimpost demu wake

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
Shikamoo JF nimepitia comments mwanzo mwisho mpaka na mimi nimeweza kun'gamua hizo code japo kidogo, bila shaka kama ndio hivi shetani huko alipo hata yeye anaogopa duu!
 
Yale mashauzi yote kwisha,kabaki wa kawaida mno na alichokosea na kumuegemea jamaa mazima. Duh jamaa aleee kistuli,mdogo mtu na mama mtu lazima abane uchumi.

Shukran kwa mwanasiasa kufosi mambo pete ikapatikana bila hivyo angeendelea kwenye hadhi ya ugelofrend

Binti hana furaha,furaha ya kweli aliondoka nayo kanumba saiv ni tabasamu feki,tatizo alianza beba mizigo mikubwa umri mdogo.

Shosti Yale meno bana yamelegea hakuna cha kuyaweka sawa wala kuyapanga. Maana ya zaman yalikua mazuri mno

Binti ana jina kubwa nchi hii, akiamua kusimama mwenyewe anaweza tatizo status mama, status!
Anapenda mambo makubwa ndio inabidi avumilie yote... imagine amtoe dogo Feza leo hii ataweka wapi sura yake mjini?

Mimi yale meno naamini anapigwa kweli, tena kapigwa ngumi nzitonzito haswaaa.
Angekuwa na meno mabaya tungemuelewa lakini sio kwa meno mazuri yale...

Kuna wengine wanasema alidondoka kule jela [emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haahaha Nifah nimekushindwa nakugawa mama.........etiiii........ U- CEO nao kaufanyia mambo?! Kweli mji mzito

Hahaaaaa acha tu wambea tuna mengi mwenzangu!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ahahaha et sitapata usingiz, umenivunja mbavu , huu ubuyu ntapost usiku saa nne Leo


Sent from my iPhone using JamiiForums

Binamu sasa ukeep promise yako bhana, nitakuwepo tuumung’unye ubuyu sie [emoji1362]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom