IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
Majizo vs Lulu nafikiri ndio mtanange wa majungu unaondelea hapaWe soma page ya kwanza mpaka ya mwisho...
Bado sijaelewa Kistuli ni nani...!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majizo vs Lulu nafikiri ndio mtanange wa majungu unaondelea hapaWe soma page ya kwanza mpaka ya mwisho...
Bado sijaelewa Kistuli ni nani...!?
Jamani jamani mi nakosea wapi mbona huu ubuyu nao ulinipita khaaa 😀 😀 😀 😀
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa yule mchumba wake ndio kistuliNdo huyo huyo H²O...zzo....
Nimechukulia stuli kama kitu kifupi(small height)
MTU anaacha raha kutoka kwa mwanamke anenda sumbuana na mwaume mwenzake... HV MTU anaanzaje kuwaza hilo jamboMkuu kuna mambo huku....
Hata mimi nikadhani ameamua kuwa humble kwa ile kesi iliyomkuta kumbe wapi shoga! Nasikia bwana bahili hatariiiiiiii
Na nasikia anamtisha kwa jinsi alivyomsave na kifungo, hivyo binti inabidi awe mpole.
Ni wazi hana furaha, binti sio yule tunayemjua aliyekuwa na nuru na tabasamu tele.
Mwenzio huku JF ndipo ninapoweza kutoa nyongo ila kule naogopa block. Na huwa anafuatilia kila comment [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku pia lazima anapitaga.
Karma shoga, karmaaaaa
Yule mke wa Seth aliniuma mnooo! Dada lizuri hatari mume akawa hasikii haoni kwa binti.
Ila alimkomesha kwa kumnyang’anya lile livogi maana tungekoma.
Kwani vile vyuma mdomoni kunani shoga?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haahaha Nifah nimekushindwa nakugawa mama.........etiiii........ U- CEO nao kaufanyia mambo?! Kweli mji mzitoWeeeee Boss kituli ana mamboooo! Hivi unajua hiyo media ilikuwaje mpaka akawa yeye C.E.O?
Hebu mie
Sent from my iPhone using JamiiForums
Zaman alikua anauza ule unga haramu Ila akaacha, akaja kujiingiza kwenye mambo ya kutisha na kuogopesha , yan watu waone tu watu wana pesa , mkijua chanzo chake hamtaamini
Nilitaka kumwaga ubuyu wote Ila ngoja tu nimsitiri kwa kuwa hanaga shida na mtu kwenye ulimwengu unaoonekana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hayo mambo ya kutisha na kuogopesha ni yapi binamu?
Au alijiunga na brotherhood?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sio uko
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23] jmn mbona siku ya wapendanao alimpost demu wakeKuna vitu vingine vinatia hadi wasiwasi
Dj dommy kaenda mjengoni kavuta mke ndani,Kenedytheremedy kavuta mke,Dj Zero kavuta mke,Adam ana jiko..wewe upoupo tu,lazima watu wawe na mashaka
Anyway,watajua wenyewe
Tumia bhasi hata code kunijuza huo mkasa mwingine, maana sitapata kausingizi binamu bila ubuyu. Ha ha ha!
Sent using Jamii Forums mobile app
tunausubiri huo ubuyu wa zanzibarAhahaha et sitapata usingiz, umenivunja mbavu , huu ubuyu ntapost usiku saa nne Leo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yale mashauzi yote kwisha,kabaki wa kawaida mno na alichokosea na kumuegemea jamaa mazima. Duh jamaa aleee kistuli,mdogo mtu na mama mtu lazima abane uchumi.
Shukran kwa mwanasiasa kufosi mambo pete ikapatikana bila hivyo angeendelea kwenye hadhi ya ugelofrend
Binti hana furaha,furaha ya kweli aliondoka nayo kanumba saiv ni tabasamu feki,tatizo alianza beba mizigo mikubwa umri mdogo.
Shosti Yale meno bana yamelegea hakuna cha kuyaweka sawa wala kuyapanga. Maana ya zaman yalikua mazuri mno
Haahaha Nifah nimekushindwa nakugawa mama.........etiiii........ U- CEO nao kaufanyia mambo?! Kweli mji mzito
Tag me pleaseAhahaha et sitapata usingiz, umenivunja mbavu , huu ubuyu ntapost usiku saa nne Leo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ahahaha et sitapata usingiz, umenivunja mbavu , huu ubuyu ntapost usiku saa nne Leo
Sent from my iPhone using JamiiForums