Yaaan huyo kumi na mbili b abanduliwe na CLASS?Ndio. Alikuwa anataka kumpitisha CLASS kile kinachochimbwa pembeni ya barabara! CLASS akawa mbishi! Sa Sijui walimanzanaje
Sent using Jamii Forums mobile app
CLASS ni nani..?
Ndio unaaambiwa Mji Mzito huu
Hakijamaliza darasa la saba kile kitoto...mbona muda hivo[emoji134][emoji134]Cant wait kama gauni la mahari niliuza mwanzoniii sembuse ka pete[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila navumilia dogo amalize std seven sekondari ataenda st kayumba ebo!!
Muda muchache sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unawaogopesha wanaotaka frem,kwani wanadai nini hao waarabu?Kuna mchezo umeibuka kkoo, ukitaka fremu pale wale watoto wa kiarabu, wanatoa masharti mawili....huwezi kafe na njaa
Ngoja niishie hapa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee jamaa noma eti water-zo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakika[emoji122][emoji122]Yani pesa ni kichaka cha uovu, watu wanamuonea wivu mtoto wa watu kuwa kapata bahati , wangejua mambo mazito anayo kumbana nayo mmh , Yule mtoto ni super woman , anastahili tuzo , waoneni tu watu insta Ila msitamani maisha yao maana viatu vyao vizito
Sent from my iPhone using JamiiForums
Eti nguvu ya tigo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo Dudu Baya yuko kwenye raiti traki kwamba bwana Hamisa Mandiwa anabanduliwa? loh dunia hii jamani usione watu wanashine tu kumbe nguvu ya tigo.
Hivi huyo kumi na mbili B ana mabwana wangapi hapa mjini eeeh?I've deciphered all codes.
Kudos Mkuu kwa kutumia codes hasa kwenye haya mambo ya privacy.
Zamani bila kujua codes utapitwa na siri za huu ulimwengu.
Mawingu media nini tatizo?
Nimeshangazwa na huyo mwana politricks, ambae alikuwa kinara wa mambo ya mtaroni, kumbe ni mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo.
Water-zo sijui itakuwaje na pearl maana b21 ndio kama kaliamsha dude.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nikiona evidence, itakuwa ndo mara ya mwisho kuwa mbishi kuamini chochote maisha yangu yote...
Tatizo za hizi stori zipo simple sana. Almost improbable. Almost.
Sent using Low Frequency Electromagnetic Waves
Hivi huyo kumi na mbili B ana mabwana wangapi hapa mjini eeeh?
Maana kila kona yupo, mpaka waume za watu[emoji134][emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafidia gharama zake za kesi daah!Huu mji acha kabisa mambo mengi hadharani bora angeendelea kujificha kwa dada wa kubandika,ila napo dada yule kabla ya kuokoka kwa picha alikua hakauki kwa sangoma.
Binti hana jipya,jina linambeba ila habebeki,kesi ilimuharibia kila kona basi bwana yupo huru kuchepuka atakavyo
Naskia hata M call me J ndo inayomuweka mjini hadi leo anadunda....Eti nguvu ya tigo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app