Mji mzito huu

Mji mzito huu

Oya kama vipi fungukeni tu haya macode mi sielewi, ila nilichobaini kuna watangazaji wa mawinguni ni ma punga, ndo hivyo ama code zipo upside down
 
Huu uzi kiboko, umewafukunyua wambea wazoefu wote waliokua wamepotea, chezea Warumi weye! Wapi Dinazarde jamani, Niffah Umbea matamu jamani
Mnyonge mnyogeni ila ki ukweri warumi kichwa kingine kabisa akiamua kuisimamisha jamii Forum kwa dk moja inatikisika angalia wachangiaji wa leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mahusiano ya huyo alianziaga kwa small brother kumkoboa, jamani imagine mtu apewe u prime minister huku ni homo..... Hicho kitendo kilinifanya nimshushe heshima yake aisee.

Umenichekesha eti the jiwe refused and threw him, kumbe our president alifanya vyema kumtupia huko aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani ni nani huyo mwanasiasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmmm usiombwe ukawa mmbeya na ukapitwa na umbeya
Ujue mimi nilidhani binti atakuja na bonge la project baada ya ile kesi ila kimyaaaaaa! Mwisho anatujea na maronya yake. Mwanzoni alijidai kama anagawa bure baadae akatubadilishia gia angani.

Basi ubuyu wote niupata ile siku ilipozuka skandali ya kupigwa na bwana. Nilipewa ubuyu mzito kwamba bwana anachepuka vibaya mnoooo! Binti anavumilia mengi jamani!

Halafu bwana anamkontroo vibaya mnooo. Hataki binti hata apendeze, yake mashauzi ya zamani kila wiki photoshoot mara 2 hamna tena!
Ndio maana kapauka masikini [emoji24][emoji24]


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kistuli anapigwa sana sema ndo hataki kuwapa wambea cha kusema ila nyuma ya pazia anaishi maisha magumu mnooo. Nilishangaa Kipindi kile insta wanamsifia CEO kwamba hachepuki khaaaa hakuna mwanaume malaya kama huyo amemkula Yule Dada wa Idris mpaka akachoka

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Dada wa Idris[emoji44][emoji44]....code imegoma asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule kaka wakishuwa ila anaoneka mswahili usikute kamwambia sihitaji mtoto mie
Unakumbuka alivyomuumbua tahiya stop posting our TBT move on nahisi na bibie naye kapewa makavu kwamba sitaki fujo za watoto
Sasa hata juzi kwenye tuzo, hawako beneti na Demu wake Misa daaah!

Yaan lile penzi halieleweki[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jengo limejaa mapunga sese naskia hata mzee ya sauti ya umeme nae anabwana mtangazaji hapo mjengoni,kuna watu walimkuta parking ucku anabanduliwa kwenye noah yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah, hata mzee baba watu wanafukua divi? Kabaki nani sasa? Maana yule Mchungaji kitambo watu wananusa harufu ya nyax
 
Back
Top Bottom