Mji mzito huu

Mji mzito huu

Hivi unapata raha gani unapomtatua marinda mwanaume mwenzako?? Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi juzi nilikuwa samaki samaki Morogoro, niliyoambiwa sio rahisi kuamini. Nikaambiwa yule kijana ni choko, yule mwingine ni punga, yule mwingine sio riziki. Nilichoka.Kampani yao ni mademu tu.
Na wakiwa wanacheza, ukiwacheki kwa nyuma, wanavyotwik, utasema ni mademu kabisa.
Hii Dunia kwisha habari yake.
 
Back
Top Bottom