Mji mzito huu

Kuna wanaofanikiwa shoo...huyo mobetto gundu lake tuu!

Mbona mganda zari kaloga angalau kaondoka na mjengo wa maana!

Kuloga nako bahati hivooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Zari licha ya kuloga was smart enough compare na mobetto asiye na akili. Kuloga bila kuwa na akili ni useless sasa kaloga na hajapata chochote zaidi ya aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lokole siri zote za madale anazo, Yule ni kama ndugu , na anatafutiwaga madanga na esma na mama domo


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ila mama Domoo amshukuru mwanae jamani daaah!

Vitoto vyote vya sinza mori vimemla yule mama hataree!

Mi namuona mama Misa ana unafuu coz yy anadanga kama mwanae halafu limama lizuri lile! Sasa mama Domoo kakomaa, sura haina nuru kabisa, ingawa anahonga

Tuliokuwa tunakaa sinza kipindi kile tuliona mengi[emoji849][emoji22][emoji22]


Sent using Jamii Forums mobile app
 

She will eat zem yuko vzur mpaka na kingee juu chezeya kudanga weye🤣, Ila wamwache mama wa watu adange bhana , maana msoto wamekula si mchezo , adange tu maisha yenyewe Ndo haya 🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
She will eat zem yuko vzur mpaka na kingee juu chezeya kudanga weye[emoji1787], Ila wamwache mama wa watu adange bhana , maana msoto wamekula si mchezo , adange tu maisha yenyewe Ndo haya [emoji1787][emoji1787]


Sent from my iPhone using JamiiForums
She will eat them yuko vizuri!...Ila Domo ana roho ngumu jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanaofanikiwa shoo...huyo mobetto gundu lake tuu!

Mbona mganda zari kaloga angalau kaondoka na mjengo wa maana!

Kuloga nako bahati hivooo

Sent using Jamii Forums mobile app

Na Mimi nataka nianze kuroga binamu 🤣🤣, hivi waganga nitawpata wap, wale wa ukweli lakin sio matapeli , nataka niroge haswaa mwaka huu ninunue BMW 🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na Mimi nataka nianze kuroga binamu [emoji1787][emoji1787], hivi waganga nitawpata wap, wale wa ukweli lakin sio matapeli , nataka niroge haswaa mwaka huu ninunue BMW [emoji1787][emoji1787]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nenda Tabora, kule kuna waganga wa ukweee eh!

Hapa mjini kuibiana tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zari licha ya kuloga was smart enough compare na mobetto asiye na akili. Kuloga bila kuwa na akili ni useless sasa kaloga na hajapata chochote zaidi ya aibu

Sent using Jamii Forums mobile app

Zari hajasoma Ila yuko exposed , maisha aliyoishi na wanaume aliotoka nao si mchezo, lazima awe smart , hatokag na vinuka mkojo, domo mwenyewe pesa na umaarufu Ndo vimemvutia zari , huoni sasa hvi anapiga madili and she is ambassador wa makampuni hapa Tz , Ila Ma ex wa domo wengine wote vilaza hakuna aliyenufaika hata tanasha nae hajui kujibeba , now angekua mbali , zari mjanja bwana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Zari licha ya kuloga was smart enough compare na mobetto asiye na akili. Kuloga bila kuwa na akili ni useless sasa kaloga na hajapata chochote zaidi ya aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
No mobetto sio mjinga hivoo! Unajua alilenga yulee, Ni ile tu ana gundu ndo maana mambo yakamgomea!.....kwanza alijitombesha, akapata mimba, kichwani akajua lzm apate ghorofa, na BMW+ seed capital....sema mara nyingi ishu ukiwa unaifukuzia, well arranged, na full expectations, mara nyingi lazima uambulie 0 kubwa[emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa sasa umeingiza uteam binamu...

Eti zari hatokagi na vinuka mkojo[emoji849][emoji849][emoji44][emoji44][emoji16][emoji28] who told u?

Yule Karim mbeba vyuma mbona alitoa mimba zake tatu, na akamrecord liporn[emoji849][emoji849][emoji849][emoji44]

Haya sasa hivi ana unknown full kumficha ficha tu, itakuwa na huyo jamaa useless tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Na alivyokua anajitapa pussy so good mxieew , sasa hvi kaambulia Toyota vanguard , yan kakitembeza karibia kwa mastaa wote then Anaambulia Toyota , akili hana , Yule angekua Ana push BMW or Mercedes , mademu wa kibongo hawanaga akili kabisa , Sasa hivi kabaki na Jina tu hata duka lake limedoda


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Weee sio Vanguard...Ni kill rav4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dukani ana ndoo nyingi[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]....walisema minions wake!

Hivi zile ndoo dukani kwake ni za nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sio gundu binamu , Yule akili hana , Mara Mia lulu kidogo , ingawa na yeye kaamua kuolewa yan atadoda, Yule angendelea tu kuwa single angedanga mpaka nchi za nje, kangekua mbali , Ila si haba atleast , maana anaishi maisha mazuri Hana shida , Ila still angekua na uwezo wa kuwa mbali zaidi

Lulu angetaka kufanikiwa xaidi angeachana na mambo ya ndoa, coz she is a star , na lulu Ana nyota kali na mzuri , angepiga madili ya maaan, Sasa kamuona majini Ndo tajir mxieew akaamua kujifunga


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Hao wengine wakuondoa genye tu , unajua Serengeti boy kama akina Calisah wale Ndo wakusuuza nao tu Ila kuna wale Ma boss mapedeshee , unajua zari hata akilala na nani still life yake iko poa , sio akina misa na wema


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aaaagh wapi....hivi Demu kutoa mimba tatu unaona mchezoo eeeh?[emoji44][emoji44]

Bibi hachagui yeyote anayetokea mbele yake twende tuu[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…