cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hafu wanakuja kunishambulia humu jukwaani eti nionekane mdau wa hyo kitu. Wakija pm wanajifanya kuongea hayo mambo. Unafiki ni janga wala
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu watu wa aina ya huyo mtu utakuta ndio mdau namba moja huku anaonekana mkolomije sirini ni matatuaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app