witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Nashangaaa[emoji849]warumi alisema ana file la Mrs machache mpaka Leo hajalilieta mbona
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaaa[emoji849]warumi alisema ana file la Mrs machache mpaka Leo hajalilieta mbona
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajiita nani insta?Rio hufanya na un kwenye mambo ya vijana yuko smart mno, husafiri sana duniani ka kwenda Kariakoo vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida wengi huharibiwa na ndugu wa karibu tangia utoto wao na kutishwa wasiseme, na huko mashuleni ndo shida yatupasa kuwafundisha watoto madhara ya haya mambo, boarding kuna mambo sana.
Hao watu wazima wafanye tu kwa utashi na Uhuru wao it doesn't hurt ka kwa watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nimpekenyue!...kwahiyo ye tigo yake imemnufaisha?[emoji16][emoji16][emoji16]
Aaa tunapata habari za mjini toka kwa vijana,ni muhimu mkuuMkuu barafu nawe kumbe unapitia huku kula ubuyu?
[emoji38] [emoji38]
Basi sawa dada tumeshakujua tayari.
Ckusema kwa nia mbaya my friend
Nimekuwa nikivutiwa sana na comment zako ambazo huwa ukiwakomesha watu wanaopenda hiyo michezo na huwa nikifuatilia comment zako napata faraja sana kuona wapo wanaokemea hili suala kwa ukali na hawataki hata kulisikia.
Ila sasa nikashangaa kidogo hapa umekuwa tofauti ndo mana nikaandika hivyo.wala sikukusudia ubaya dada.
All the best.
Ohooo!Ngoja nimpekenyue!...kwahiyo ye tigo yake imemnufaisha?[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzia ndugu hata wadada wakazi ndo waharibu mno, kwa watoto jinsia zetu. Mie nalea kuishi na ndugu nawatimua wote marufuku mtoto kulala na strange people.Ndugu ni sumu au agent wa vitabia vya ajabu kwa watoto tena ukute ndugu wanalirika kubwa kuliko mtoto ndio mbaya japo sio ndugu wote wabaya wengi wanamichezo mibaya.
Hata boarding ndipo uonevu na experiments nyingi za tabia zinashamiri, nilishashudia hayo kwenye shule moja ya vipaji moro huko ina hii mambo mpaka aibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku ni ubuyu kwa kwenda mbele hau hujui hili jukwaa, mie na discuss udaku, pia tusipangiane maisha ya kufanya jf na Uhuru wa Ku comment chochote jf as long as zivunji sheria za jf na jamhuri ya muungano wa Tanzania. I do respect you lakini sikutegemea ur that low kiasi hicho hafu wewe ni mwanaume wa tano kunifatilia kuhusu comments zangu, tena mumeshikilia mambo ya tigo wakati Mimi humu JF hu comments majukwaa mbali mbali had siasani mbona huwa hamuji kusema lolote.
Acheni mambo ya ajabu yenu kuona eti tigo ndo dhambi ila umbeya na usengenyaji ni sawa. I'm always positive my dear don't judge me by my opinions, I hate hypocrisy nature of people.
Enjoy ur time reading ubuyu here in celebrity forum
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee nimemuona huyo Rio yaan kama mamtoni vile daaah....full bata kinoma
Kabisa imekuwa kama kumpa uhuru wa kufanya kile anachojisikia, cha muhimu yupo smart enough kuendesha maisha yake kwa kuwasaidia na wengine.
Sometimes personal life ya mtu hasa mtu mzima kama haikuathiri chochote maishani ni ya kumuachia mwenyewe hawa kina James delicious ndio wa kudeal nao kwa mambo yao ya kupost na kuharibu maadili kwa kuipigia promo hii kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Ohooo!
Fursa kubwa mjini hiyo utaendesha range sport hata kumiliki duka. Ahahahaha!
Sent using Jamii Forums mobile app