cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Shida wengi huharibiwa na ndugu wa karibu tangia utoto wao na kutishwa wasiseme, na huko mashuleni ndo shida yatupasa kuwafundisha watoto madhara ya haya mambo, boarding kuna mambo sana.
Hao watu wazima wafanye tu kwa utashi na Uhuru wao it doesn't hurt ka kwa watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watu wazima wafanye tu kwa utashi na Uhuru wao it doesn't hurt ka kwa watoto.
Kweli hii ya utotoni ni mbaya sana na inampa mtoto wakati mgumu hasa kujitambua ni nani na anatakiwa kufanya nini ila hawa watu wazima sina shida nao sana ni uchaguzi wao shida ipo kwa malaika hawa Duh!
Mambo yakukaribisha ndugu alale na mtoto sijui boarding school kwa mtoto vinachangia sana haya mambo.
Wanasemaga kwani kama nimekula ya mwanamke mwanaume si ndio ile ile?
Kanaanza kwa mwanamke mpaka kwa kina juma lokole hapo ndio addiction sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app