Mji mzito huu

Mji mzito huu

Umenikumbusha house boys/girls nao ni virus wa tabia mbaya kwa watoto wadogo.

Maisha haya hatuwezi kukabili kazi na malezi kwa wakati mmoja, hivyo ufuatiliaji ni muhimu na kukagua viungo vyao mara kwa mara.
Kuanzia ndugu hata wadada wakazi ndo waharibu mno, kwa watoto jinsia zetu. Mie nalea kuishi na ndugu nawatimua wote marufuku mtoto kulala na strange people.

Huko boarding ni kufundisha watoto mie nimesoma boarding niliya shuhudia hayo sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Love is a private thing, the world does not need to know every detail of it.

Mtu mzima akifanya yake kwa siri bila kuingilia uhuru wangu wala kushawishi wengine, kwangu tatizo nini kama sio unafiki na kujivika maisha yasiyonihusu?

Tatizo lipo kwa hawa malaika wadogo wanaofanyiwa ukatili, hapa napinga kwa nguvu zote , hawafanyi at their own consent.
Kikubwa upendo basi mtu akifanyia yake chumbani atajiju na kwa siri no problem at all.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio nia mbaya nimechoka na hyo tabia kuni attack nionekane mubaya kwanza Mimi sijawahi kemea mtu mzima kutoa.mtaro wake mie hujisemea nafsi yangu, mtu ka mzima ana Uhuru wa kufanya lolote huko chumbani Mimi hayanihusu.
So I wonder people kunishikia bango ka nimeua vile, wengine mumekuwa mahakimu wazuri as if jf nzima mie ndo ninaye comments nyuzi hzo, kumbuka reactions za jamii kuhusu ushoga, jamani msitake kuni label vibaya heshimuni maoni yangu sipendi watu kunifata fata popote.

Kwanza Uzi huu unanambia eti nimekuwa mpole kah umetumia kipimo gani, mana huu Uzi una comments kibao ukaona yangu tu. I personal hyo a.... Sex kwangu ni mwiko, hao wanaofanya wafanye kwa raha zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi sawa.
 
Na huko ndani watu wafanya makubwa ni siri ya chumbani huko, hata mahusiano ya kawaida ni private matter shida kujitangaza in public ili iweje wakati dunia nzima hivo vitendo vipi.
Love is a private thing, the world does not need to know every detail of it.

Mtu mzima akifanya yake kwa siri bila kuingilia uhuru wangu wala kushawishi wengine, kwangu tatizo nini kama sio unafiki na kujivika maisha yasiyonihusu?

Tatizo lipo kwa hawa malaika wadogo wanaofanyiwa ukatili, hapa napinga kwa nguvu zote , hawafanyi at their own consent.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stylish ndio kamwili chake hicho.

Rio anajua nini anafanya hata idadi ya haters hana sana ukilinganisha na hao wengine kina mtoto wa mama, kabali ya jiji, James delicious, aggrey, etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]....eti mtoto wa mama!

Hivi Rio atakuja kuoa kweli?

Ni kabila gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom