usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Sema Lulu nae kichwa maji toChaga babe na Haya ana akili zake nyingi tu!Lulu ana nyumba Charambe nafikiri ana maduka ya nguo pia anashea na watu sio mchache mbona!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Wakat alitoka na foolish ager Ile filam
Yake najua alivuna pakubwa.......
Bas angekua Co wa biashara kadhaa
Bila Shea na watu Ila starehe ya lucifa nayo ilikua kipaumbele[emoji1][emoji1]