Sema Lulu nae kichwa maji toChaga babe na Haya ana akili zake nyingi tu!Lulu ana nyumba Charambe nafikiri ana maduka ya nguo pia anashea na watu sio mchache mbona!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Yaas kwa ruge nakataa kabisaa maana chanzo changu sahihi 100% hakijawahi sio tu kusema hata kuskia tetesi juu ya hilo!Huu uhuru wa kuongea msiutumie kuharibu legacy za watu, Ruge ana mambo yake mengine kama mwanaume yoyote rujali ila si upuuzi huo.
Ukiachana na wasio oa kuna hawa wa msimamo mkali hao n moto wa kuotea mbaliHasa hasashule zinazoendeshwa na taasi za wale viongozi wa dini wasio oa
Hao ni kama wamehalalisha kabisaUkiachana na wasio oa kuna hawa wa msimamo mkali hao n moto wa kuotea mbali
Yani hakuna pazur
Tatizo wanafia ndoa,status mjini!Sema Lulu nae kichwa maji to
Wakat alitoka na foolish ager Ile filam
Yake najua alivuna pakubwa.......
Bas angekua Co wa biashara kadhaa
Bila Shea na watu Ila starehe ya lucifa nayo ilikua kipaumbele[emoji1][emoji1]
Yaani acha kabisaa hata asipojua Leo ipo Siku atajua tu ukweliHalafu uki imagine na utandawaz huu
Mtoto wa dozen kamaliza standard 7 this year
[emoji134][emoji134][emoji134] Hapo najua hawez kosa laptop nyumban ama simu[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Dhaaaa kabisa yani maana ukiacha shule za boarding hata huku mtaan wanaonekana kabisa kutenda hyo kazHao ni kama wamehalalisha kabisa
Mambo ya kulazimidha ndo haya unakuja kuaibika mchana wa jua Kali Kama la dsmTatizo wanafia ndoa,status mjini!
Na yeye kaolewa the problem ni kutaka kuwaprove watu wrong kua pamoja na yote bado yuko vzr na ameachieve vingi ambavyo kuna wengine hawana mambo ya ajabu km yake wamepata hiyo ndo shida
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kabisa yani n mjaonz kwakweliYaani acha kabisaa hata asipojua Leo ipo Siku atajua tu ukweli
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Wenzio hawajali ujue wanaona normal tu!they don't kea at all..sio shida zao eti kuona haya!!!ingawa family zao zina hard time kiukweli ila hawana namna!Mambo ya kulazimidha ndo haya unakuja kuaibika mchana wa jua Kali Kama la dsm
Cjui unajificha wapi na kivuli hupat[emoji1][emoji1][emoji1]
Haya mambo Haya yaskie tu ila yanaumiza sana rafiki mnooo!Kabisa yani n mjaonz kwakweli
Huyo rapa ni nani?Sasa huyo rappa anaemkamua mwanasiasa, nadhan hata politie mwenyew huwa anang'ata mto, maan alivyo tyuuh kwa muonekano wake show zake n konkiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Don bother ni nanHii code umekaza sana hebu ilegeze kdogo... au yule aliyeimba "don bother "
Ndo hvo aibu inabad Kwa ndugu na jamaaWenzio hawajali ujue wanaona normal tu!they don't kea at all..sio shida zao eti kuona haya!!!ingawa family zao zina hard time kiukweli ila hawana namna!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Tuzid to kusali yasitufike kwenye familia zetu kwakweliHaya mambo Haya yaskie tu ila yanaumiza sana rafiki mnooo!
Mimi naomba Mungu aninusuru na familia yangu
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
kaka wa mweshimiwa!Don bother ni nan
Ameen Mungu atusimamie sana!Tuzid to kusali yasitufike kwenye familia zetu kwakweli
NgoshaDon bother ni nan
Hatuna gereDon bother ni nan