Afundishwe na nani , tamaa tu za kutaka maisha ya juu , Ila si anafanya kaz lakin jaman ? , yan hawa sio kama wana shida ni vile tu wanapenda tu huo mchezo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Cant wait kama gauni la mahari niliuza mwanzoniii sembuse ka pete[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila navumilia dogo amalize std seven sekondari ataenda st kayumba ebo!!
Muda muchache sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shoga unaonekana unayajua mazito ya couple ya vistuli hatari.
Kuna shogangu juzi alikuwa ananipa ubuyu wa bibi kistuli vile bwana kistuli anavyotoka na rafiki yake halafu nasikia huko michepukoni anamponda bibi kistuli hatariiii.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huu uzi kiboko, umewafukunyua wambea wazoefu wote waliokua wamepotea, chezea Warumi weye! Wapi Dinazarde jamani, Niffah Umbea matamu jamani
@Nifah tunakumiss, msalimie bold[emoji23][emoji23][emoji23] Yani sijui nilikuwa wapi sikuuona huu uzi. Siku nyingine mniite mapema jamani maana siku hizi nina madini ya kutosha.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huu mji acha kabisa mambo mengi hadharani bora angeendelea kujificha kwa dada wa kubandika,ila napo dada yule kabla ya kuokoka kwa picha alikua hakauki kwa sangoma.
Binti hana jipya,jina linambeba ila habebeki,kesi ilimuharibia kila kona basi bwana yupo huru kuchepuka atakavyo
Dah Warumi hii ni bonge la ubuyu kama ni wa Zanzibar basi ni wa Babu nani sijui yule.
Nimechoka mwili na roho.
Niffah pole mwaya Bitweluvu ndo hivyo tena................ ila juzi alituonyesha mpiga picha wake akimchumu au ndo danganyishia toto?! Mwe kweli mji mzito huu. Mie boss mfupi ndo kanimaliza heee anataka nini zaidi jamani!!!
Unamaanisha ki-kangaHuyo jamaa yeye hunyaduliwa nje ya nchi ndo mana nilikuwa nashangaa why azunguke nchi mbali mbali Mara Germany, USA kumbe wakwepa wadaku wa mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue mimi nilidhani binti atakuja na bonge la project baada ya ile kesi ila kimyaaaaaa! Mwisho anatujea na maronya yake. Mwanzoni alijidai kama anagawa bure baadae akatubadilishia gia angani.
Basi ubuyu wote niupata ile siku ilipozuka skandali ya kupigwa na bwana. Nilipewa ubuyu mzito kwamba bwana anachepuka vibaya mnoooo! Binti anavumilia mengi jamani!
Halafu bwana anamkontroo vibaya mnooo. Hataki binti hata apendeze, yake mashauzi ya zamani kila wiki photoshoot mara 2 hamna tena!
Ndio maana kapauka masikini [emoji24][emoji24]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Joh m@k kama vile nahis umbea kwa code ni mgumu sanaNimeelewa kwa MBINDE KIMONA
Baada ya kusoma comments zoote.
ila msanii mwenye DRED ndo sijamjua ni yule wa kaskazini au yule kanda ya ziwa aliyepewa 5M na DAB akamkabidhi mama ake Zila?
DUH KWANI JAMAA YUPA HAPA PWANI?
Kumbe nawe umeeelewa kila kitu kama mimi eehKuna vitu vingine vinatia hadi wasiwasi
Dj dommy kaenda mjengoni kavuta mke ndani,Kenedytheremedy kavuta mke,Dj Zero kavuta mke,Adam ana jiko..wewe upoupo tu,lazima watu wawe na mashaka
Anyway,watajua wenyewe
Daah....kweli mji huu ni mzito....