cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Huyo jamaa yeye hunyaduliwa nje ya nchi ndo mana nilikuwa nashangaa why azunguke nchi mbali mbali Mara Germany, USA kumbe wakwepa wadaku wa mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Afundishwe na nani , tamaa tu za kutaka maisha ya juu , Ila si anafanya kaz lakin jaman ? , yan hawa sio kama wana shida ni vile tu wanapenda tu huo mchezo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app