Mji mzito huu

Mji mzito huu

Wanazengo ngoja na Mimi Leo ni jaribu kuwapa umbea wa code sijui ntaweza mbea Mimi🤣🤣 , haya twende Sasa


Yule boss mfupi mwenye kumiliki redio flani hivi inayokuja kwa kasi, inasemekana yupo kwenye mahusiano yasiyofaa na mtangazaji wa kiume wa radio nyingine , ambapo mtangazaji huyo pia anamiliki duka la nguo.

Juzi kati maeneo ya bahari beach usiku kuliibuka na timbwili zito kati ya wawili wao, ambapo chanzo cha ugomvi huo ni wivu wa kimapenzi, Boss huyo anatarajia kuoa hivi karibuni, ambapo mtangazaji huyo anapinga vikali na hataki kusikia habar za ndoa Kwan anataka kuendelea ku enjoy penzi na pesa za kibosile huyo ambaye kimuonekano ni mfupi na mpole asiye na makuu.

Mashemeji fekero( mastaa Wa kubwa watatu wa kiume, mmoja msanii wa bongo fleva, Ana dread, mtangazaji wa radio , mwingine mwanasiasa) wa mahusiano hayo yasiyofaa walikua na shughuli nzito usiku huo kuwagombelezea wapenzi Hao , na kufanikisha kuwatuliza wawili Hao.


Mtangazaji huyo wa kiume anasifika sana kwa kusafir nchi mbali mbali duniani kwa pesa za mpenzi wake huyo wa siri ambaye inasemekana wapo wote mwaka wa tatu na nusu sasa, mmh mji mzito huu

Ila malkia wa mashauzi sijui atakua anamjua mke mwenzie mmh , mambo mengi mda mchache, Ila ata akijua atafanyaje? Chezeya nguvu ya pesa weye



Sasa hivi ntakua nawaletea ubuyu hot kwa code tu 🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa hiyo Dudu Baya yuko kwenye raiti traki kwamba bwana Hamisa Mandiwa anabanduliwa? loh dunia hii jamani usione watu wanashine tu kumbe nguvu ya tigo.
 
Kuna vitu vingine vinatia hadi wasiwasi

Dj dommy kaenda mjengoni kavuta mke ndani,Kenedytheremedy kavuta mke,Dj Zero kavuta mke,Adam ana jiko..wewe upoupo tu,lazima watu wawe na mashaka

Anyway,watajua wenyewe
Juzi kati alipiga picha akiwa nchi za bara la Asia akiwa na lasichana .sasa sijui kutuzuga au.
 
Back
Top Bottom