Hata mimi nikadhani ameamua kuwa humble kwa ile kesi iliyomkuta kumbe wapi shoga! Nasikia bwana bahili hatariiiiiiii
Na nasikia anamtisha kwa jinsi alivyomsave na kifungo, hivyo binti inabidi awe mpole.
Ni wazi hana furaha, binti sio yule tunayemjua aliyekuwa na nuru na tabasamu tele.
Mwenzio huku JF ndipo ninapoweza kutoa nyongo ila kule naogopa block. Na huwa anafuatilia kila comment 🤣🤣🤣
Huku pia lazima anapitaga.
Karma shoga, karmaaaaa
Yule mke wa Seth aliniuma mnooo! Dada lizuri hatari mume akawa hasikii haoni kwa binti.
Ila alimkomesha kwa kumnyang’anya lile livogi maana tungekoma.
Kwani vile vyuma mdomoni kunani shoga?
Sent from my iPhone using JamiiForums