Mji mzito huu

Mji mzito huu

Kwakweli Hamisi kajua kuniumiza jamani! Loooh

Boss mfupi ana mamboooo! Wewe hushangai na pesa zote zile lakini hakuwa commited kimahusiano? Watu hadi wamezikimbia ujue sio mchezo.

Ila mimi mwanaume aliyefikia stage ya kuwafanyizia wanaume wenzie hata awe na hela vipi simtaki. Huyo ni shetani
Laana itatafuna hadi watoto! Ptuuuuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani................ Sikuwahigi kumuwazia mauchafu yoyote Boss Kistuli. Pole zake Bi Kistuli kwa kweli.
 
Siku hizi hakuna cha les wig wala make up sijui kushona nguo,kuigiza hata kwenye huba hakuna ni kujifungia ndani daily

Zile mbenjuo sasa mwanzon wambea tukadhan ni style mpya ya binti kumbe pesa imekata na jamaa busy kusomesha mdogo mtu

Alichoacha hoi wananzengo ni kuibuka kwa tetesi za kupigwa mara paaap bint kakurupukia media tour kukanusha na mbwembwe za kusave valentine,baada ya valentine kimyaaa ila kama anasoma hapa sooon atatuumbua kwa kwenda kugawa misaada

Saivi ni zamu yake kusota alisotesha sana wake za watu ndoa alizitingisha vya kutosha.

Hata mimi nikadhani ameamua kuwa humble kwa ile kesi iliyomkuta kumbe wapi shoga! Nasikia bwana bahili hatariiiiiiii

Na nasikia anamtisha kwa jinsi alivyomsave na kifungo, hivyo binti inabidi awe mpole.
Ni wazi hana furaha, binti sio yule tunayemjua aliyekuwa na nuru na tabasamu tele.

Mwenzio huku JF ndipo ninapoweza kutoa nyongo ila kule naogopa block. Na huwa anafuatilia kila comment 🤣🤣🤣
Huku pia lazima anapitaga.

Karma shoga, karmaaaaa
Yule mke wa Seth aliniuma mnooo! Dada lizuri hatari mume akawa hasikii haoni kwa binti.
Ila alimkomesha kwa kumnyang’anya lile livogi maana tungekoma.

Kwani vile vyuma mdomoni kunani shoga?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwakweli Hamisi kajua kuniumiza jamani! Loooh

Boss mfupi ana mamboooo! Wewe hushangai na pesa zote zile lakini hakuwa commited kimahusiano? Watu hadi wamezikimbia ujue sio mchezo.

Ila mimi mwanaume aliyefikia stage ya kuwafanyizia wanaume wenzie hata awe na hela vipi simtaki. Huyo ni shetani
Laana itatafuna hadi watoto! Ptuuuuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nawasoma kwa ukaribu wa hali ya juu
 
Ujue mimi nilidhani binti atakuja na bonge la project baada ya ile kesi ila kimyaaaaaa! Mwisho anatujea na maronya yake. Mwanzoni alijidai kama anagawa bure baadae akatubadilishia gia angani.

Basi ubuyu wote niupata ile siku ilipozuka skandali ya kupigwa na bwana. Nilipewa ubuyu mzito kwamba bwana anachepuka vibaya mnoooo! Binti anavumilia mengi jamani!

Halafu bwana anamkontroo vibaya mnooo. Hataki binti hata apendeze, yake mashauzi ya zamani kila wiki photoshoot mara 2 hamna tena!
Ndio maana kapauka masikini [emoji24][emoji24]

Sent from my iPhone using JamiiForums
Binamu tumegee kidogo wengine tulipitwa jamaniii
 
Okay...
Em ngoja sasa niende kwenye main thread..nshapata kitu.
Hata mimi nikadhani ameamua kuwa humble kwa ile kesi iliyomkuta kumbe wapi shoga! Nasikia bwana bahili hatariiiiiiii

Na nasikia anamtisha kwa jinsi alivyomsave na kifungo, hivyo binti inabidi awe mpole.
Ni wazi hana furaha, binti sio yule tunayemjua aliyekuwa na nuru na tabasamu tele.

Mwenzio huku JF ndipo ninapoweza kutoa nyongo ila kule naogopa block. Na huwa anafuatilia kila comment 🤣🤣🤣
Huku pia lazima anapitaga.

Karma shoga, karmaaaaa
Yule mke wa Seth aliniuma mnooo! Dada lizuri hatari mume akawa hasikii haoni kwa binti.
Ila alimkomesha kwa kumnyang’anya lile livogi maana tungekoma.

Kwani vile vyuma mdomoni kunani shoga?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Siku hizi hakuna cha les wig wala make up sijui kushona nguo,kuigiza hata kwenye huba hakuna ni kujifungia ndani daily

Zile mbenjuo sasa mwanzon wambea tukadhan ni style mpya ya binti kumbe pesa imekata na jamaa busy kusomesha mdogo mtu

Alichoacha hoi wananzengo ni kuibuka kwa tetesi za kupigwa mara paaap bint kakurupukia media tour kukanusha na mbwembwe za kusave valentine,baada ya valentine kimyaaa ila kama anasoma hapa sooon atatuumbua kwa kwenda kugawa misaada

Saivi ni zamu yake kusota alisotesha sana wake za watu ndoa alizitingisha vya kutosha.
Jamani jamani mi nakosea wapi mbona huu ubuyu nao ulinipita khaaa 😀 😀 😀 😀

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weeeee Boss kituli ana mamboooo! Hivi unajua hiyo media ilikuwaje mpaka akawa yeye C.E.O?
Hebu mie

Sent from my iPhone using JamiiForums

Zaman alikua anauza ule unga haramu Ila akaacha, akaja kujiingiza kwenye mambo ya kutisha na kuogopesha , yan watu waone tu watu wana pesa , mkijua chanzo chake hamtaamini

Nilitaka kumwaga ubuyu wote Ila ngoja tu nimsitiri kwa kuwa hanaga shida na mtu kwenye ulimwengu unaoonekana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yale mashauzi yote kwisha,kabaki wa kawaida mno na alichokosea na kumuegemea jamaa mazima. Duh jamaa aleee kistuli,mdogo mtu na mama mtu lazima abane uchumi.

Shukran kwa mwanasiasa kufosi mambo pete ikapatikana bila hivyo angeendelea kwenye hadhi ya ugelofrend

Binti hana furaha,furaha ya kweli aliondoka nayo kanumba saiv ni tabasamu feki,tatizo alianza beba mizigo mikubwa umri mdogo.

Shosti Yale meno bana yamelegea hakuna cha kuyaweka sawa wala kuyapanga. Maana ya zaman yalikua mazuri mno

Back
Top Bottom