Mji mzito huu

Mji mzito huu

Aaaah, sitoki humu binamu ngoja niweke bando la chuo. Umbea kila mtu anapenda tunatofautina jinsi ya kuupata. Wengi hawajioneshi, mitandao imesitiri mengi.

Usiniangushe binamu, penda sana legend wa gossiping. Ungeweka kapaje insta bhasi.
Ahahaha et sitapata usingiz, umenivunja mbavu , huu ubuyu ntapost usiku saa nne Leo

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie msifanye binti mashauzi aka mlokole fake akacomit murder bulee
Mwenzenu ataka kuwa madame kama Jacklin Mengi,tatizo uwezo mdogo,makandokando mengi na alishajiharibia brand since wayback
Wajua katika maisha hakuna short cut and ukitake short cut lazima itaback fire in the long run,kwani Mungu huwa hamfichi mnafiq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zaman alikua anauza ule unga haramu Ila akaacha, akaja kujiingiza kwenye mambo ya kutisha na kuogopesha , yan watu waone tu watu wana pesa , mkijua chanzo chake hamtaamini

Nilitaka kumwaga ubuyu wote Ila ngoja tu nimsitiri kwa kuwa hanaga shida na mtu kwenye ulimwengu unaoonekana

Sent from my iPhone using JamiiForums
We mwaga tu kwani Ben pize ana shida gani na mtu?ama b twangala?mbona umewaexpoze?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua hawa mastaa wetu hadi kufika hapo walipo wamebebwa vya kutosha hivyo hawajazoea kujiendesha wenyewe. Ndo maana madini anashindwa kutoka yeye kama yeye bila msaada wa mwanaume.

Ngumi za haja,ustaa huko huko tangu afumwe na hirizi ya kupumua ujanja pembeni. Hahahaa eti kadondoka jela duh aiseee waja wana mambo

Maisha ya mastaa wetu ni shinda. Cheki shangazi(kwa kizungu)tangu atoswe na mcheza shoo siku hizi ni mwendo wa editing mpaka mageti na vioo vinapinda ili mradi aonekane ka binti kuvutia danga jipya
Binti ana jina kubwa nchi hii, akiamua kusimama mwenyewe anaweza tatizo status mama, status!
Anapenda mambo makubwa ndio inabidi avumilie yote... imagine amtoe dogo Feza leo hii ataweka wapi sura yake mjini?

Mimi yale meno naamini anapigwa kweli, tena kapigwa ngumi nzitonzito haswaaa.
Angekuwa na meno mabaya tungemuelewa lakini sio kwa meno mazuri yale...

Kuna wengine wanasema alidondoka kule jela [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Angetaka u madame angemfata jack kupata somo,bidada hakufika hapo kirahisi alisota alifulia mpaka ilifikia alienda shop supermarket kachagua vitu wee mwisho anaangalia salio halitoshi akasepa kama sio yeye bila vitu
Nyie msifanye binti mashauzi aka mlokole fake akacomit murder bulee
Mwenzenu ataka kuwa madame kama Jacklin Mengi,tatizo uwezo mdogo,makandokando mengi na alishajiharibia brand since wayback
Wajua katika maisha hakuna short cut and ukitake short cut lazima itaback fire in the long run,kwani Mungu huwa hamfichi mnafiq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaaah, sitoki humu binamu ngoja niweke bando la chuo. Umbea kila mtu anapenda tunatofautina jinsi ya kuupata. Wengi hawajioneshi, mitandao imesitiri mengi.

Usiniangushe binamu, penda sana legend wa gossiping. Ungeweka kapaje insta bhasi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aaaah kanunue kifurushi cha wiki , huku mambo ni fireee🤣🤣

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unajua hawa mastaa wetu hadi kufika hapo walipo wamebebwa vya kutosha hivyo hawajazoea kujiendesha wenyewe. Ndo maana madini anashindwa kutoka yeye kama yeye bila msaada wa mwanaume.

Ngumi za haja,ustaa huko huko tangu afumwe na hirizi ya kupumua ujanja pembeni. Hahahaa eti kadondoka jela duh aiseee waja wana mambo

Maisha ya mastaa wetu ni shinda. Cheki shangazi(kwa kizungu)tangu atoswe na mcheza shoo siku hizi ni mwendo wa editing mpaka mageti na vioo vinapinda ili mradi aonekane ka binti kuvutia danga jipya

Mmh yan ukisikia mambo yao waweza kuogopa hii dunia , walivyo na mambo yao tofauti

Huyu mke wa machache nae sekeseke lake ni hataree , mdomo komaaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
We naeee unakaribia menopause ka mie unaanza kupoteza kumbukumbu!
mfyuuuu!
Kuna code gani hapa ya kumuombea binamu akufe!
KWANZA mi nataka birthday yake iwe leo!
warumi HAPPY BIRTHDAY LOVE!
Hahahahaaaa hakika menopause imebisha hodi akiweka code nakukimbilia chap
 
Wanazengo ngoja na Mimi Leo ni jaribu kuwapa umbea wa code sijui ntaweza mbea Mimi[emoji1787][emoji1787] , haya twende Sasa

Yule boss mfupi mwenye kumiliki redio flani hivi inayokuja kwa kasi, inasemekana yupo kwenye mahusiano yasiyofaa na mtangazaji wa kiume wa radio nyingine , ambapo mtangazaji huyo pia anamiliki duka la nguo.

Juzi kati maeneo ya bahari beach usiku kuliibuka na timbwili zito kati ya wawili wao, ambapo chanzo cha ugomvi huo ni wivu wa kimapenzi, Boss huyo anatarajia kuoa hivi karibuni, ambapo mtangazaji huyo anapinga vikali na hataki kusikia habar za ndoa Kwan anataka kuendelea ku enjoy penzi na pesa za kibosile huyo ambaye kimuonekano ni mfupi na mpole asiye na makuu.

Mashemeji fekero( mastaa Wa kubwa watatu wa kiume, mmoja msanii wa bongo fleva, Ana dread, mtangazaji wa radio , mwingine mwanasiasa) wa mahusiano hayo yasiyofaa walikua na shughuli nzito usiku huo kuwagombelezea wapenzi Hao , na kufanikisha kuwatuliza wawili Hao.

Mtangazaji huyo wa kiume anasifika sana kwa kusafir nchi mbali mbali duniani kwa pesa za mpenzi wake huyo wa siri ambaye inasemekana wapo wote mwaka wa tatu na nusu sasa, mmh mji mzito huu

Ila malkia wa mashauzi sijui atakua anamjua mke mwenzie mmh , mambo mengi mda mchache, Ila ata akijua atafanyaje? Chezeya nguvu ya pesa weye

Sasa hivi ntakua nawaletea ubuyu hot kwa code tu [emoji1787][emoji1787]

Sent from my iPhone using JamiiForums
hii itakuwa wale vijana wa mavi fm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahaha et sitapata usingiz, umenivunja mbavu , huu ubuyu ntapost usiku saa nne Leo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Binamu nami nausubiri kwa hamu huo ubuyu wa zenji, ila usituchomeshe mahindi tutakufwa wenziooo
 
Mmh yan ukisikia mambo yao waweza kuogopa hii dunia , walivyo na mambo yao tofauti

Huyu mke wa machache nae sekeseke lake ni hataree , mdomo komaaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nyuzi kama hizi zisipondikwa na Binamu hata hazinogi. Ni mwendo wa Code tu. Nasubiria na hii ya Mama Machache... twende kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom