Mji mzito huu

Mji mzito huu

Zaman alikua anauza ule unga haramu Ila akaacha, akaja kujiingiza kwenye mambo ya kutisha na kuogopesha , yan watu waone tu watu wana pesa , mkijua chanzo chake hamtaamini

Nilitaka kumwaga ubuyu wote Ila ngoja tu nimsitiri kwa kuwa hanaga shida na mtu kwenye ulimwengu unaoonekana

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nieleweshe kwenye kutisha na kuogopesha, vingine vyote navielewa binamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua hawa mastaa wetu hadi kufika hapo walipo wamebebwa vya kutosha hivyo hawajazoea kujiendesha wenyewe. Ndo maana madini anashindwa kutoka yeye kama yeye bila msaada wa mwanaume.

Ngumi za haja,ustaa huko huko tangu afumwe na hirizi ya kupumua ujanja pembeni. Hahahaa eti kadondoka jela duh aiseee waja wana mambo

Maisha ya mastaa wetu ni shinda. Cheki shangazi(kwa kizungu)tangu atoswe na mcheza shoo siku hizi ni mwendo wa editing mpaka mageti na vioo vinapinda ili mradi aonekane ka binti kuvutia danga jipya
Hivi shangazi kamwagwa kweli na mkata mauno?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo twanga alinishika mkono ile handshaking lahaula mkono lainiiiiiiiiiiii kama wa kike nkashindwa kuelewa mwanaume unatakiwa uwe na mkono mgumu kama msasa

Wanazengo ngoja na Mimi Leo ni jaribu kuwapa umbea wa code sijui ntaweza mbea Mimi🤣🤣 , haya twende Sasa

Yule boss mfupi mwenye kumiliki redio flani hivi inayokuja kwa kasi, inasemekana yupo kwenye mahusiano yasiyofaa na mtangazaji wa kiume wa radio nyingine , ambapo mtangazaji huyo pia anamiliki duka la nguo.

Juzi kati maeneo ya bahari beach usiku kuliibuka na timbwili zito kati ya wawili wao, ambapo chanzo cha ugomvi huo ni wivu wa kimapenzi, Boss huyo anatarajia kuoa hivi karibuni, ambapo mtangazaji huyo anapinga vikali na hataki kusikia habar za ndoa Kwan anataka kuendelea ku enjoy penzi na pesa za kibosile huyo ambaye kimuonekano ni mfupi na mpole asiye na makuu.

Mashemeji fekero( mastaa Wa kubwa watatu wa kiume, mmoja msanii wa bongo fleva, Ana dread, mtangazaji wa radio , mwingine mwanasiasa) wa mahusiano hayo yasiyofaa walikua na shughuli nzito usiku huo kuwagombelezea wapenzi Hao , na kufanikisha kuwatuliza wawili Hao.

Mtangazaji huyo wa kiume anasifika sana kwa kusafir nchi mbali mbali duniani kwa pesa za mpenzi wake huyo wa siri ambaye inasemekana wapo wote mwaka wa tatu na nusu sasa, mmh mji mzito huu

Ila malkia wa mashauzi sijui atakua anamjua mke mwenzie mmh , mambo mengi mda mchache, Ila ata akijua atafanyaje? Chezeya nguvu ya pesa weye

Sasa hivi ntakua nawaletea ubuyu hot kwa code tu 🤣🤣

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unajua hawa mastaa wetu hadi kufika hapo walipo wamebebwa vya kutosha hivyo hawajazoea kujiendesha wenyewe. Ndo maana madini anashindwa kutoka yeye kama yeye bila msaada wa mwanaume.

Ngumi za haja,ustaa huko huko tangu afumwe na hirizi ya kupumua ujanja pembeni. Hahahaa eti kadondoka jela duh aiseee waja wana mambo

Maisha ya mastaa wetu ni shinda. Cheki shangazi(kwa kizungu)tangu atoswe na mcheza shoo siku hizi ni mwendo wa editing mpaka mageti na vioo vinapinda ili mradi aonekane ka binti kuvutia danga jipya
Mmh haya kwangu mapya. Shangazi pia katoswa? Maana insta watu kwa kujitia wana mahaba. Kumbe behind close door ni joto tu
 
Ngoja nkupe umbea kutoka reliable source kabisaa!!!wako wote ila ndani vululuvululu yaani!!

Aunty hamtaki hata kumuona janaume linajing'ang'aniza balaa...wanamchambaaa iyobo vibaya mnoo!!!kwanza kumbe analelewa hana chochote yule mcheza shoo!mpk gari ya mama biskuti!yupo siku yoyote anabwaga rasmi ile kila mtu kivyake
Hivi shangazi kamwagwa kweli na mkata mauno?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom