Mji mzito huu

Mji mzito huu

Yale mashauzi yote kwisha,kabaki wa kawaida mno na alichokosea na kumuegemea jamaa mazima. Duh jamaa aleee kistuli,mdogo mtu na mama mtu lazima abane uchumi.

Shukran kwa mwanasiasa kufosi mambo pete ikapatikana bila hivyo angeendelea kwenye hadhi ya ugelofrend

Binti hana furaha,furaha ya kweli aliondoka nayo kanumba saiv ni tabasamu feki,tatizo alianza beba mizigo mikubwa umri mdogo.

Shosti Yale meno bana yamelegea hakuna cha kuyaweka sawa wala kuyapanga. Maana ya zaman yalikua mazuri mno
Huyo binti nae mtoaji mzuri tu wa tigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti ana jina kubwa nchi hii, akiamua kusimama mwenyewe anaweza tatizo status mama, status!
Anapenda mambo makubwa ndio inabidi avumilie yote... imagine amtoe dogo Feza leo hii ataweka wapi sura yake mjini?

Mimi yale meno naamini anapigwa kweli, tena kapigwa ngumi nzitonzito haswaaa.
Angekuwa na meno mabaya tungemuelewa lakini sio kwa meno mazuri yale...

Kuna wengine wanasema alidondoka kule jela [emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
3BD9D317-5446-48C6-9FF1-931303B4FA6D.jpeg
 
Nimepitia comments mwanzo mpaka mwisho.Niliowagundua mapunga katika hizo codes kama wafuatao.
1.Majizo
2.B12
3.Moses Iyobo(WCB Dancer)
4.Millard Ayyo.
Codes nyingine sijaelewa kusoma kwangu I.C.T
 
Nimepitia comments mwanzo mpaka mwisho.Niliowagundua mapunga katika hizo codes kama wafuatao.
1.Majizo
2.B12
3.Moses Iyobo(WCB Dancer)
4.Millard Ayyo.
Codes nyingine sijaelewa kusoma kwangu I.C.T
Ongeza na paulo kolomije.
Joho Serious
Waziri before February month.

Mambo yasiwe mengi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni tetesi kama ni za kweli hazituhusu maana kila mtu na Lifestyle lake..


Code... Code.. Kuna wengine wambea uku hawana code kwenye minyeeelo... Trust me


Kuzungumnzia Maisha ya mtu ni sawa kutaka kujua utamu anao upata au uchungu ana upata.


Mwisho wake ni kukung'uta au kukung'utwa tuwe makini sana na vitu vya kusikia.

Unajua tunapo andika vitu ambavyo hatuna USHAIDI navyo, unajua tuna ziumiza hizi nafsi kiasi gani?

Nafsi hizi tunazo ziumiza zina familia ndugu pamoja na Marafiki.. Tusifanye hivyo tafadhali tunachane na mambo Person.


Mjini kuna mambo mengi usimlaumu mtu kwa kitu usicho kijua undani wake.. Wengine shida zili wadumbikiza uko tusi waseme vibaya.

Kutokuwa na Mke sio sababu eti ni muhumini wa mapenzi ya jinsia moja. Kuna watu Wazee kabisa na familia zao ila wanaliwa vifurushi kwa speed ya 4G.

Kuna nyumba ya Mungu moja Dar ipo maeneo fulani.. humo watu wana laluana waziwazi mpaka Mtumishi kanawa Mikono.. Cha ajabu watu wazima wenye familia zao.









Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom