Mji mzito huu

Mji mzito huu

Hatujajua ulikuwa kwa kiwango gani kipindi hicho kulinganisha na sasa. Na pia alimtuma mwanae wa pekee ili kila amuaminie apate uzima wa milele. Hukumu ipo kwa wafiraji na wafirwaji
Ko kumbe unazungumzia kitu ambacho hukijui wala huna uhakika nacho? Je una uhakika upi kuwa sodoma na gomora ilichomwa?

Km alimtuma mwanae wa pekee ili kuja kuwaokoa watendao maovu, aliruhusu vipi jambo hili litokee na kuwepo kabisa had leo hii? na hiyo hukumu imeainishwa wapi?

Na ktk kutokomeza ushoga au kupinga, hakna hoja nyingne zaidi ya Dini?
 
Kuna yule mdogo wake na lady Jay Dee anaitwa Wancy nasikia aligongwa na kaapiiteen,dada mtu akawafumania hadi leo dogo hazi ivi na dada yake,huu mji mzito
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambeeeeh tyuuh.
 
Ko kumbe unazungumzia kitu ambacho hukijui wala huna uhakika nacho? Je una uhakika upi kuwa sodoma na gomora ilichomwa?

Km alimtuma mwanae wa pekee ili kuja kuwaokoa watendao maovu, aliruhusu vipi jambo hili litokee na kuwepo kabisa had leo hii? na hiyo hukumu imeainishwa wapi?

Na ktk kutokomeza ushoga au kupinga, hakna hoja nyingne zaidi ya Dini?
Kimaadili ushoga ni laana maana hata wanyama hawawezi kufanya huo uchafu tuendelee kuwaelemisha madhara makubwa ya ushoga na ilivyo chukizo kwa muumba wetu ufiraji ni laana mbaya mno
 
Hakna anayekataa ktk upingaji wa ushoga, ila mbinu na hoja bado hazijitishelezi, maadili yapi hayo? Wanyama wepi hao? Au kna ushahidi upi kuwa wanyama hawafany hivyo? Na kitu kutofanywa na wanyama ndo kiwe upotovu wa maadili?

kna mashoga wengne hawaamini ktk dini/iman, au hawaamini kbsa uwepo wa Mungu, vipi hawa wanaokolewa vipi?
 
Ko kumbe unazungumzia kitu ambacho hukijui wala huna uhakika nacho? Je una uhakika upi kuwa sodoma na gomora ilichomwa?

Km alimtuma mwanae wa pekee ili kuja kuwaokoa watendao maovu, aliruhusu vipi jambo hili litokee na kuwepo kabisa had leo hii? na hiyo hukumu imeainishwa wapi?

Na ktk kutokomeza ushoga au kupinga, hakna hoja nyingne zaidi ya Dini?
Tutoe dini manake unabikia na Uafrika wako au kabila lako ndiyo asili yako, je kuna kuna kabila lina ruhusu hili?
 
Ndio maana wote macho yamewalegea namna ile[emoji3]

Bila bin laden naye huwa anawavusha siku 1 1.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio anawapa zamu kabisaah, labda lokole ndo kila siku ionekanayo,
Ndo maan hawapendan na zariii, lol
 
Tutoe dini manake unabikia na Uafrika wako au kabila lako ndiyo asili yako, je kuna kuna kabila lina ruhusu hili?
Kwahiyo Kabila au asili kutoruhusu jambo, basi muhusika asifanye? Na km Kabila au asili hairuhusu hili jambo, mbna lipo sasa na hakna lolote linalofanyika kuonesha kuwa halikubaliki au sio sahihi kuwepo? Ina maanisha nn?
 
Bas anavo jifaragua huki insta na dollars, utasema maisha kayakutaa, labda mh haridhiki nae ndo maan hampi huduma ya kueleweka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna kitu jamaa niko nae mtaa mmoja hadi huruma mashoga wenzie angalau wana muonekano msafi ila yeye tia maji tia maji
 
Back
Top Bottom