Mji wa Dar es Salaam ni mishe mishe

Mji wa Dar es Salaam ni mishe mishe

Nimeishi mikoa msingi sana, Dar es salaam ukiwa na pesa na kazi binafsi is one of the best city to live...

Ila Dar es salaam bila pesa hapafai hata kidogo, na nikisema pesa simaanishi vihela, hapana.

Ubaya wa Dar es salaam:

1. Ukiwa mwajiriwa hapafai.
2. Kulea watoto sio pazuri.
3. Ni mji wa watu waongo ongo.
Nakubaliana na wewe namba 2, dar sio mji mzuri kabisa kwenye malezi ya watoto.....hapafai.
 
Salamu wakuu.

Mji huu Dar es salaam ni Mji mzuri sana katika mishe za hapa na pale.Mji huu haumkatai mtu kama ukiweka starehe mbele.

Pisi za Mji huu hazina upendo kwa apeche alolo.Pisi Za Mji huu zanataka kuona unatembea na AC yako ili wakupe unapopataka lakini hawakupi moyo wao.

Huko mbagala watu wamevurugwa yaani naweza kusema ule Ni Mkoa ambao upo ndani ya Jiji hili Dar es salaam.

Huu ndio Mji unaotoa hela na kuzitawanyisha Kwa watu wamikoani.
Hata ufanye nini huwezi kuukataa huu Mji WA Dar.

HUU mji Ni kama maji vile Usipo yaoga utakunywa au kunawa yaani huwezi kuukimbia.

Kwa ufupi Jiji la Dar es salaam hauna maadui
Yaani Rafiki kwa kila mkoa.

Utaitwa Handsome hata kama sura mbaya,Na hii ndo Daslam unakana kwenu huna haya?.
Sana aisee
 
Watu wa mbagala tumeingiaingia vipi hapo mbona watu waliovurugwa hata mererani wapo
 
Dar kero nyingi sana. Ukiwa na hela sawa ila sasa wenye hela ni asilimia ndogo sana wengi maisha yakwaida tu.

Juzi nimeona mwanamke amebanwa kwenye mwendokasi mpaka anataka kukata roho analia tu "yesuuuuuu nakufaaaa".

Shida zote hizo za nini?
na ukimwambia aame dar huyo anakutukana kabisa..fa mchezo nini!
 
Nimeishi mikoa msingi sana, Dar es salaam ukiwa na pesa na kazi binafsi is one of the best city to live...

Ila Dar es salaam bila pesa hapafai hata kidogo, na nikisema pesa simaanishi vihela, hapana.

Ubaya wa Dar es salaam:

1. Ukiwa mwajiriwa hapafai.
2. Kulea watoto sio pazuri.
3. Ni mji wa watu waongo ongo.
Kwamba ukiwa Masaki, Oysterbay, Mikocheni huwezi kulea watoto? Mkuu uswahilini ndio tatizo hilo lipo mm nipo Mwanza hata hapa Mwanza ukiwa Ghana, Kilimahewa, Mabatini huwezi kulea watoto masikini wana changamoto nyingi sana
 
Namba 3
 
hiyo namba 2.Adam na Hawa mbona walishindwa kulea watoto hadi wakauana. walikuwa Dar?
 
Wapo waliotoboa nje ya Dar

Kuna wengi wanang'ang'ania Dar na kupoteza muda na maisha yanawachapa

Ni ujinga tu eti niko Dar na hauna mishe ya maana kula kwa shida
Hata kama wametoboa lakini Ni lazima wafike hata kuliona jiji
 
Kwamba ukiwa Masaki, Oysterbay, Mikocheni huwezi kulea watoto? Mkuu uswahilini ndio tatizo hilo lipo mm nipo Mwanza hata hapa Mwanza ukiwa Ghana, Kilimahewa, Mabatini huwezi kulea watoto masikini wana changamoto nyingi sana

Huwezi elewa,
 
Back
Top Bottom