Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Abiria anaruka au inakuaje mkuuKabisa asee
Madereva wa bajaji huwa wanalalamika sana kupakiza abiria alfu katikati ya safari haoni abiria wake.
Wenyewe wanasema washazoe Hari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abiria anaruka au inakuaje mkuuKabisa asee
Madereva wa bajaji huwa wanalalamika sana kupakiza abiria alfu katikati ya safari haoni abiria wake.
Wenyewe wanasema washazoe Hari.
Thank you very much. Niliposoma hio comment na zilizofuata nilitaka kujibu kama hivi ila nikaona sitaeleweka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jf bhana et siwezi kuelewa,,,,,,,
Kama huna hela umepanga nyumba moja ina wapangaji kumi pambana na hali yako! Watoto wako wanasoma shule ya serikali ina wanafunzi 900 pambana na hali yako
Kuna watu wanaishi nyumba nzima na ina fensi husiikii vigodoro sijui singeli hakuna wale jamaa wa sumu za panya hakuna bar kiufupi mazingira yametulia
Watoto kwenda shule gari linawafuata nyumbani, shule ina wanafuzi nzima ina wanafunzi 120 tu nashindwaje kulea mtoto?
Hivi yahaya bureau de change bado ipo hapoMkuu njoo Tunduma,hutajutia.
haha eti tarime, daah aisee yan nliwah kutana na mbunge wao anakimbiza gari anawah dar wikend ilikuwa, alinipita pale kibaigwa kama upepo...Jf kuna vituko sana.
Hivo nauli wanakua hawalipi..?Sijuagi lakini ukiwauliza nao hawajui pia
Miaka ya 2014-15 tulikuwa hapo mtaa wa Nyuma ya bar ya Masakuu ilikuwa shida wanaanza kupiga mziki mida ya saa 10 jioni mpaka asubuhi halafu kuna siku walikuwa na shoo za kusaula,mziki na makelele yote unayasikia ukiwa chumbani kwako ni balaa tupu,watoto wa mitaa hiyo walikuwa wanajifunza matusi kupitia masakuu.Dar hu mji una shida sana.
Tofauti na zamani hata mbagala kwetu hapakua hivi ila iliyokuja darlive mambo yakabadilika
Salamu wakuu.
Mji huu Dar es salaam ni Mji mzuri sana katika mishe za hapa na pale. Mji huu haumkatai mtu kama usipoweka starehe mbele.
Pisi za Mji huu hazina upendo kwa apeche alolo. Pisi za Mji huu zinataka kuona unatembea na AC yako ili wakupe unapopataka lakini hawakupi moyo wao.
Huko Mbagala watu wamevurugwa yaani naweza kusema ule ni Mkoa ambao upo ndani ya Jiji hili Dar es salaam.
Huu ndio Mji unaotoa hela na kuzitawanyisha kwa watu wamikoani. Hata ufanye nini huwezi kuukataa huu Mji wa Dar.
HUU mji ni kama maji vile usipoyaoga, utakunywa au kunawa yaani huwezi kuukimbia.
Kwa ufupi Jiji la Dar es salaam hauna maadui
Yaani Rafiki kwa kila mkoa.
Utaitwa Handsome hata kama sura mbaya, na hii ndo Daslam unakana kwenu huna haya?
Huwezi kuniambia chochote kuhusu Dar ,hao wanaoishi mikoa mingine huko wao waendelee tu kuishi.Dar kero nyingi sana. Ukiwa na hela sawa ila sasa wenye hela ni asilimia ndogo sana wengi maisha yakwaida tu.
Juzi nimeona mwanamke amebanwa kwenye mwendokasi mpaka anataka kukata roho analia tu "yesuuuuuu nakufaaaa".
Shida zote hizo za nini?