Mji wa Dodoma haujaisha, Kigamboni pameishia njiani na hela za wastafu tumerukia chrome city

Mji wa Dodoma haujaisha, Kigamboni pameishia njiani na hela za wastafu tumerukia chrome city

bro alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
1,889
Reaction score
2,294
Wajuzi wa hili jambo njooni mtufafanulie.

Kwishaaaaaaa
 
Hapana sifahamu nimeona hii project nikashangaa, ni juzi TU hapa serikali imedai HAITO ENDELEA na mradi ULE kwani hauna tija USHA TUMIA PESA NDEFU na BADO unahitaji PESA NDEFU wakapiga chini SASA NASIKIA TENA mradi mwingine huu chrome city NDO nikabaki mdomo wazi



Kwishaaaaa
 
Ukiwa DG kwenye hii mifuko ya hifadhi mwaka mmoja tu wewe hata ukifukuzwa kazi potelea pote
 
Back
Top Bottom