Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 8,508
- 15,276
Habari,
Binafsi naupenda sana mji wa Goba kutokana na Geographia yake, ukiwa upande wowote unaweza kuufikia mji wa goba bila changamoto yoyote
Mbezi shule kupitia masana unafika goba
Mbezi luis kupitia goba road unafika goba
Kimara mwisho kupitia matosa road unafika Goba
Mlimani city kupitia makongo road unafika goba
Tegeta kupitia madale road unafika goba
Msumi kupitia mbezi makabe unafika Goba
Mpiji magoe kupitia mbopo road unafika goba
Salasala kupitia kinzudi road unafika goba
Na huu ndo utamu wa Goba ukiwa angle yoyote unafika vizuri kabisa