Kivule - Goba aliepanda SGR Posta anafika Dom we bado.Ukiwa kivule je
Na anaweza kurudi ujafika badoKivule Goba aliepanda SGR Posta anafika Dom we bado.
Bongo tulishazira mipango miji,Goba ndiyo eneo zuri lenye fursa.
Goba sasa kumekuwa mjini hawalali biashara zinakesha.
Fuel Filling station, Pub, Lounge na fast food kila baada ya mita chache.
Goba kwa wakataa wahuni.
Habari,
Binafsi naupenda sana mji wa Goba kutokana na Geographia yake, ukiwa upande wowote unaweza kuufikia mji wa goba bila changamoto yoyote
Mbezi shule kupitia masana unafika goba
Mbezi luis kupitia goba road unafika goba
Kimara mwisho kupitia matosa road unafika Goba
Mlimani city kupitia makongo road unafika goba
Tegeta kupitia madale road unafika goba
Msumi kupitia mbezi makabe unafika Goba
Mpiji magoe kupitia mbopo road unafika goba
Salasala kupitia kinzudi road unafika goba
Na huu ndo utamu wa Goba ukiwa angle yoyote unafika vizuri kabisa
Mad hii nakataaKivule Goba aliepanda SGR Posta anafika Dom we bado.
Uongo usimsikilize uyo goba kufika mjini ji dakkNa anaweza kurudi ujafika bado
Unajua kusoma kweli mpishi? Kivule ni mjini?Uongo usimsikilize uyo goba kufika mjini ji dakk
Mm naongelea goba mmesema kuwa mtu wa kivule na goba kufika mjini ana chelewa labda uyo wa kivule ila sio gobaUnajua kusoma kweli mpishi? Kivule ni mjini?
Cheza kuendana na biti mkuu, tiririka na commentsMm naongelea goba mmesema kuwa mtu wa kivule na goba kufika mjini ana chelewa labda uyo wa kivule ila sio goba
Wew donaty ety? 🤣Cheza kuendana na biti mkuu, tiririka na comments
unawaza tu kupika madonatiWew donaty ety? 🤣
Tulia weweunawaza tu kupika madonati