Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Upuuzi tuuGoma ipo salama......salamu zinaendelea kupelekwa KigaKigali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi tuuGoma ipo salama......salamu zinaendelea kupelekwa KigaKigali
Angalia update .....wasalimie KIGALIUpuuzi tu
Mkuu kabila kafa 2009?. Mzee amekufa kitambo sisi tulikua congo 2003 wakati wanataka wampindue kabila mtoto. Sasa anasemeje 2009? Kama 2003 walitaka kumpindua mwanaeKwani akifa ndio mkataba umekufa? Maandishi yapo
Alifa ndio makubaliano yanakufa? Hakuna makaratasi?Mkuu kabila kafa 2009?. Mzee amekufa kitambo sisi tulikua congo 2003 wakati wanataka wampindue kabila mtoto. Sasa anasemeje 2009? Kama 2003 walitaka kumpindua mwanae
Poor leadership,embezzlement, nepotism& egoist for African leaders mean poor Africa and DRC is one exampleIt's so Sad..
What's wrong with Congo...
Dah..
Absolutely.Kwa hali ilivyo sasa ni kama haiwezekani tena.Labda Mungu mwenyewe aingilie kati.mpaka rasilimali zote zitakapoisha congo ndiyo itatulia. iko hiv,jesh la congo linaongozwa na waasi bila watu kujua.kuna watu walishaingizwa jeshini na wako kwenye nafasi za juu kabisa kwa maslahi ya mataifa mengine
Nawahurumia sana hao watu wa Drc
Ni Wanyankole na Watutsi hakuna Waasi CongoAbsolutely.
Watu wengi wasichokijua ni kwamba ndani ya Jeshi la Congo DR kuna Waasi wengi sana ambao wanawaunga mkono Wapinzani wa Utawala wa nchi hiyo na pia wamekuwa wakiwapatia taarifa zote kabisa muhimu kwa Wapiganaji wa Vikosi vya Waasi wa M23.
But all in all, hata mmoja wa Wanajeshi aliyewahi kuwa Mkuu wa Majeshi ya Congo DR (Zaire) hapo miaka ya nyuma pia aliwahi kuwa Mkuu wa Majeshi wa nchi ya Rwanda.
Na cha kushangaza zaidi kuna watu wanamsifu huyo Kagame kuwa amekuza uchumi wa rwanda mara sijui rwanda ni bora.Kumbe ni majizi tu how on earth mtu wa namna hiyo anaonekana shujaa.Matatizo ya DRC yanasababishwa na Rwanda kinachoshangaza Viongozi wa Afrika wapo kimya huku raia wakipata tabu kwa sababu ya mali zilizopo kwenye Nchi yao inasikitisha sana..
Yes, they are fighting the loosing battle.JW wanapigana vita wasivyoweza kushinda.
Pumbavu tunapoteza tu vijana wetu kwa mambo ya kifala.
Kuikatiza Rwanda kutokea Goma, DRC ni hatari sana niliwahi kwenda DRC wakati wa kurudi gari waliisechi balaa wakidhani nimefata dhahabu Goma wakati nilikua nimeenda kuweka mikataba na mteja alikua anahitaji Jeep kutoka SA na hela zilitumwa nikiwa Goma kwenda SA na mikataba walisoma lakini wakaendelea kutafuta dhahabu kwenye gari ila hawasemi wanachokitafuta..wakipata dhahabu wanakuweka jela yao ina mto chini na kupokonywa kila kitu Rwanda sio sehemu salama kabisa..Na cha kushangaza zaidi kuna watu wanamsifu huyo Kagame kuwa amekuza uchumi wa rwanda mara sijui rwanda ni bora.Kumbe ni majizi tu how on earth mtu wa namna hiyo anaonekana shujaa.
Hapana Afrika imegawanywa kuna nchi zinazozungumza Kifaransa na Nyingine zinazungumza Kiingereza sasa Marekani haiwezi kuingilia makoloni ya Mfaransa.Wamarekani ni Wapumbavu sana...
America wako na Kagame..
Wao ndo wanawawezesha hao M23..
Ni ujinga viongozi Wa Africa kukubali huu uhayawani...
Jeshi la Kongo wanapigana huku wamelewa.Namfahamu kiasi huyu mzee alikua mtu wa tungi hivi,
Apumzike kwa amani
Unaijua Kangonya? Basi hao jamaa akipiga bia lazima ashushie na kangonyaJeshi la Kongo wanapigana huku wamelewa.
Wakishalewa kangoya wanaanza kubaka Wanawake,Zero Nidhamu.Unaijua Kangonya? Basi hao jamaa akipiga bia lazima ashushie na kangonya