Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

Naunga mkono hoja

Njombe walichozidi labda ni matukio tu..maana haipiti siku mbili unaskia Mtu kachinjwa vipande kama Nyama ya ng'ombe
 
Kuanzia kibaoni,mjini hadi Lipangalala,mjini ni wa moto sana.
Hata harakati za kibiashara Ifakara ziko juu sana.

Ifakara iwe mkoa alafu wilaya zake ziwe Mlimba,malinyi,Ulanga(mahenge) na Kilombero(kidatu)
Ifakara bado saaana kuwa mkoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…