nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 526
Sasa six km toka mjini kuna pori halafu unafananisha na njombe....dah kweli umeamua kutuchafuaMji upo mbali na reli.. almost 6 km..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa six km toka mjini kuna pori halafu unafananisha na njombe....dah kweli umeamua kutuchafuaMji upo mbali na reli.. almost 6 km..
Hahaha acha kuleta point zisizo na mashiko Kama hujui miji kaa kimya tumekwambi makambako eneo lake la mji kwa Sasa lime be coverd with house Sasa Ni nani aanze kuongerea habari za mashambaNinaposema makazi namaanisha eneo la mji wa makambako sio mpaka huko kwenye mashamba ya viazi na parchichi eneo linalounda mji wa makambako sio halmashauri ya makambako yaani sehemu ya makazi sio mashamba ukiambiwa onesha mji wa makambako utaonesha majumba sio mashamba
Hesabu nipo vizur Sana shida yako unaangalia mlundikano was nyumba na si ukubwa wa eneoUtakua hujui hesabu nafikiri! Makambako kwamba inaweza kuifikia Manispaa ya Ilala Dar? Au karibu ya mji wote wa Dodoma? Kapige hesabu vizuri!
Kuna eneo la makazi na eneo la masha eneo la makazi ndio huitwa mji na mashamba hayaundi mji hivyo mji wa ilala ni mkubwa kuliko makambako namaanisha eneo la makazi linamrundikano wa nyumba nyingiHesabu nipo vizur Sana shida yako unaangalia mlundikano was nyumba na si ukubwa wa eneo
Hesabu nipo vizur Sana shida yako unaangalia mlundikano was nyumba na si ukubwa wa eneo
Njombe mlichotuzidi ifoza labda Hilo baridi lenu la kutembea na makoti muda wote ndio maana mnatia aibu mkienda Dar joto Kali lakini mnavaa makoti yenu na jua lote la DarNauli,kuna kama Kilometers 10 5 hadi unafika mjini
Kuna barabara ngapi za lami hapo mjini Ifakara?Kuanzia kibaoni,mjini hadi Lipangalala,mjini ni wa moto sana.
Hata harakati za kibiashara Ifakara ziko juu sana.
Ifakara iwe mkoa alafu wilaya zake ziwe Mlimba,malinyi,Ulanga(mahenge) na Kilombero(kidatu)
Mimi hata sijui ni factor gani wanatumia kulinganisha Njombe na ifakara mahali ambako hata hoteli za maana hakunaKuna barabara ngapi za lami hapo mjini Ifakara?
Huwezi linganisha Ifakara na Njombe hata kidogo. Ifakara ni mapori ya kulima mpunga na miwa na migomba.
Nimepita Ifakara mara nyingi sana kikazi na sikuona hata moja la kufanya uwe mkoa, labda daraja walilojengewa ndiyo limewafanya wajipandishe hadhi.Mimi hata sijui ni factor gani wanatumia kulinganisha Njombe na ifakara mahali ambako hata hoteli za maana hakuna
Mkoa wa njombe upo vizuri tofauti unavo fikiria wewe kimakazi hizo halmashauri nne zimeungana kati ya halashauri sitaHivi inakuaje, Ifakara bado ni wilaya lakini Njombe ni mkoa? Maana Ifakara kuna maendeleo kuliko Njombe mjini.![]()
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] nilicheka sanaEti Njombe juzi waliomba iwe Manspaa. Kamji kadogo ka kishamba eti iwe Manspaa.
ifakara sokoniIfakara kibaoni au ipi unayotaka kuifananisha na Njombe.
Chuki binafsi zimekuleta huku 😆😆Eti Njombe juzi waliomba iwe Manspaa. Kamji kadogo ka kishamba eti iwe Manspaa.
matumizi mabaya hayo EA tunatakiwa kuwe na mikoa7 tuuu.Kuanzia kibaoni,mjini hadi Lipangalala,mjini ni wa moto sana.
Hata harakati za kibiashara Ifakara ziko juu sana.
Ifakara iwe mkoa alafu wilaya zake ziwe Mlimba,malinyi,Ulanga(mahenge) na Kilombero(kidatu)
Hiyo Njombe in uswekeni tu. Hakuna kituChuki binafsi zimekuleta huku [emoji38][emoji38]