Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini



Hii picha nilipiga msimu wa mvua
Kama kweli wewe umekulia Ifakara
Je hii mashine unaifahamu?
 
Njia ya kuelekea Police


Zoom hii picha, utaona hizo nyumba zinakaribia kumezwa na maji, hii picha niliipiga kama unaelekea stendi hapo kati kati kuna bonde mvua zikìnyesha mafuriko kama yote
 
Wabunge wenu wachachamae ama sivyo CHATO itakuwa Mkoa kabla yenu!!! Kama mmekidhi masharti lazima mpewe haki yenu!
ifakala pale kuweka mkoa kwa sasa itakuwa hatari kwa bonde la mto kilombero
 
Chato kupata mkoa watulie labda wangekuwa wanatoka mkoa wa kigoma sababu zinazofanya wanyimwe mkoa ni sababubu za ubinafsi wa kamati ya mkoa wa kagera ndizo pia zilitokea shinyanga kahama kunyimwa mkoa lakini kahama ingekuwa ni sehemu ya tabora wangeshapewa mkoa ila kwa sababu wako shinyanga watulie tu
 
Tafuta sababu za "Kijiji" chako kutopandishwa hadhi na mzitatue.Mambo ya kulinganisha hautofika.
 
Kwan huwa wana angaliaga uzuri wa mji ?
Kuna vigezo na moja ya kihezo ni mapato ..sasa kama nyie hukonifakara ni wavivu kutoa kodi mpaka mkabweeeee embu mtulie kwa kuketi mwenyenacho huongezewa, mkono mfupi haurambwi, !!
Mkuu,Ifakara inaingiza mapato makubwa sana kwenye ushuru wa mazao ya chakula
 
Ifakara hii kumbe kuna watu wanaiona ipo juu[emoji23][emoji23] mimi linaniudhi hili vumbi la ifakara na masaa karibu saba kutoka ifakara to morogoro mjini and vice versa
Hata Mbeya mjini kuna vumbi la poda lakini maisha yanaenda tu.

Vumbi ni sehemu ya nchi yetu
 
Kule Marekani kuna majimbo ya Missisippi,Luisiana majimbo hayo kwa sehemu kubwa yamezungukwa na maji ya mto Misissippi na maisha yanaenda poa tu,mafuriko ni sehemu ya maisha ya binadamu.

Hata jangwani,Kigogo,Magomeni huwa kuna jaa maji
 
Mkuu umeeleza vizuri sana.

Watu wengi ukiizungumza Ifakara hawajui Ifakara ni namna gani ilivyokubwa na ina ubora kiasi gani
 
Njooni hapa viwanja 60 tule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…