Mji wa Kahama unaongoza kuwa na vituo vya mafuta kuliko wilaya yoyote hapa Tanzania

Mkuu naomba tuwasiliane nahitaji kuja kununua kiwanja kwa ajili ya kujenga Guest house mkuu .nimefurahi sana kuona hii article yako .
 
Mkuu naomba tuwasiliane nahitaji kuja kununua kiwanja kwa ajili ya kujenga Guest house mkuu .nimefurahi sana kuona hii article yako .
Sipo Kahama, ila niliwahi kufanya kazi huko kwa miaka mitatu. Kiukweli ni mji unaokuwa sana. Kwa wakati wako ukipata hata 200,000/- (chakula/ lodge/ safari za ndani) lnakutosha sana utaujua mji vizuri.

Mji umepanda hadhi ndani ya muda mfupi sana kutoka imetoka kuwa Kuwa Halmashauri ya wilaya na kuwa Halmashauri ya mji 2012 na 2020 ikawa Manispaa kamili. Kasi ya ukuaji ni kubwa sana Boss.
 
Wewe n empty brain, unalinganisha kahama vs Ilala , kwamba zinafukuzana ila ukiambiwa hiyo unayo iita success wilaya nzima ya kahama ukiileta ilala inatoshea sehem kutembea kwa mguu tu unang'aka , zero brain

zaid ya 70% ya mapato ya nchi nzima yanatoa dsm.. uje ulinganishe na wilaya nyingine huko uswekeni ?? Nyie wapori pori vipi nyie

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hatuwezi zungumzia uchumi wa Tanzania, ukaacha kuiweka IIala na Kahama. Katika top 10 ya miji inayochangia kwa Ukubwa pato la taifa. Sasa Ilala ipo kwenye rank ya Jiji Kongwe (zaidi ya miaka50) kupambana na Kahama mji ambao hata hauna miaka mitatu tokea iwe Manispaa ndio ujue ni potential ipi iliyopo. Na tunavyoongea kila siku vituo vipya vinajengwa achilia vilivyopo yaani ni zoezi endelevu.

Mimi nadhani mtoa mada yupo sahihi, aliyejichanganya hapa ni huyu alietuletea swag za Ilala humu.
 
Acha upumbavua Dar haiwezi kuchangia pato la taifa kwa aslimia 70%, ata report iliyopita gap kati la Mwanza na Dar limepungua sana. Dar inachangia 38% kwenye pato la taifa.
 
Acha upumbavua Dar haiwezi kuchangia pato la taifa kwa aslimia 70%, ata report iliyopita gap kati la Mwanza na Dar limepungua sana. Dar inachangia 38% kwenye pato la taifa.
Ni kiazi sana huyu dogo, hawa ndio wameenda Dar Ukubwani baada ya kutoka huko ushagoo kwao.
 
Serikali imetususa Kahama ila baada ya Ilala hakuna ka-wilaya kokote Tanzania kanaweza tutunishia misuli. #lakezonian#
 
Ni kiazi sana huyu dogo, hawa ndio wameenda Dar Ukubwani baada ya kutoka huko ushagoo kwao.
Hawa ndo wale wanaozan maisha yapo Dar tu, wanashindwa kuendeleza miji yao, wanaacha miji yao ikidumaa na kulala fofo, hii nchi ina vijana wa ajabu sana.
 
Hawa ndo wale wanaozan maisha yapo Dar tu, wanashindwa kuendeleza miji yao, wanaacha miji yao ikidumaa na kulala fofo, hii nchi ina vijana wa ajabu sana.
Tena huyu dogo inaonekana ni wa Igunga kwa akina Shishi.
 
Thanks man
 
Vituo vya Mafuta vilivyopo Wilaya ya Kibaha tuu vinaujaza mji mzima wa Kahama...
Bado vya Wilaya za B'moyo,Temeke,Ilala na Kino
 
Sawa..ila huwezi linganisha kibaha..bagamoyo na kahama..

#MaendeleoHayanaChama
Analinganisha Halmashauri ya Manispaa iliyojitengenezea hadhi ya kuwa Manispaa kwa nguvu zake na Halmashauri za wilaya [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kahama imekuwa Halmashauri ya mji kwa miaka 8 tu, ikapanda hadhi na kuwa Halmashauri ya Manispaa, Hiyo Chalinze bado ni District Council inasafari bado kuifikia Town Council ndio imtafute Municipal Council. Kahama ana hadhi ya Municipal Council ni muda tu tutaanza mchakato wa City Council.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…