Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Mkuu naomba tuwasiliane nahitaji kuja kununua kiwanja kwa ajili ya kujenga Guest house mkuu .nimefurahi sana kuona hii article yako .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipo Kahama, ila niliwahi kufanya kazi huko kwa miaka mitatu. Kiukweli ni mji unaokuwa sana. Kwa wakati wako ukipata hata 200,000/- (chakula/ lodge/ safari za ndani) lnakutosha sana utaujua mji vizuri.Mkuu naomba tuwasiliane nahitaji kuja kununua kiwanja kwa ajili ya kujenga Guest house mkuu .nimefurahi sana kuona hii article yako .
Wewe n empty brain, unalinganisha kahama vs Ilala , kwamba zinafukuzana ila ukiambiwa hiyo unayo iita success wilaya nzima ya kahama ukiileta ilala inatoshea sehem kutembea kwa mguu tu unang'aka , zero brainWewe kiazi sana, nimesema Ilala ni Jiji. Halafu eneo nalo lisema hata ulijui. Hiyo Tzr - Pugu unachapa kwa miguu vizuri tu lakini sio hiyo Rwanda Road nayo iongelea kwa miguu utaweza labda kama umehamua kujipa adhabu tu.
Dar ugeni hupi unauongelea labda? primary school Dar, Chuo kikuu Mlimani, kazi Dar hiyo Pugu - Tzr unayoisema utadhani ipo Jehanam na haifikiki [emoji38][emoji38][emoji38]
Igunga usisahau ni mji wa viwanda , moja ya wilaya zenye viwanda vingi sanaYaani unamaanisha kuwa Igunga iko juu ya Kahama!? Kwa biashara zilizopo mji wa Kahama, Igunga imeachwa mbali sana. Naona unalinganisha kifo na usingizi.
Hatuwezi zungumzia uchumi wa Tanzania, ukaacha kuiweka IIala na Kahama. Katika top 10 ya miji inayochangia kwa Ukubwa pato la taifa. Sasa Ilala ipo kwenye rank ya Jiji Kongwe (zaidi ya miaka50) kupambana na Kahama mji ambao hata hauna miaka mitatu tokea iwe Manispaa ndio ujue ni potential ipi iliyopo. Na tunavyoongea kila siku vituo vipya vinajengwa achilia vilivyopo yaani ni zoezi endelevu.Wewe n empty brain, unalinganisha kahama vs Ilala , kwamba zinafukuzana ila ukiambiwa hiyo unayo iita success wilaya nzima ya kahama ukiileta ilala inatoshea sehem kutembea kwa mguu tu unang'aka , zero brain
zaid ya 70% ya mapato ya nchi nzima yanatoa dsm.. uje ulinganishe na wilaya nyingine huko uswekeni ?? Nyie wapori pori vipi nyie
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Viwanda my foot? Kwenye 10 bora wachangiaji wakubwa wa national GDP hata haipo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Igunga usisahau ni mji wa viwanda , moja ya wilaya zenye viwanda vingi sana
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Acha upumbavua Dar haiwezi kuchangia pato la taifa kwa aslimia 70%, ata report iliyopita gap kati la Mwanza na Dar limepungua sana. Dar inachangia 38% kwenye pato la taifa.Wewe n empty brain, unalinganisha kahama vs Ilala , kwamba zinafukuzana ila ukiambiwa hiyo unayo iita success wilaya nzima ya kahama ukiileta ilala inatoshea sehem kutembea kwa mguu tu unang'aka , zero brain
zaid ya 70% ya mapato ya nchi nzima yanatoa dsm.. uje ulinganishe na wilaya nyingine huko uswekeni ?? Nyie wapori pori vipi nyie
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ni kiazi sana huyu dogo, hawa ndio wameenda Dar Ukubwani baada ya kutoka huko ushagoo kwao.Acha upumbavua Dar haiwezi kuchangia pato la taifa kwa aslimia 70%, ata report iliyopita gap kati la Mwanza na Dar limepungua sana. Dar inachangia 38% kwenye pato la taifa.
Hawa ndo wale wanaozan maisha yapo Dar tu, wanashindwa kuendeleza miji yao, wanaacha miji yao ikidumaa na kulala fofo, hii nchi ina vijana wa ajabu sana.Ni kiazi sana huyu dogo, hawa ndio wameenda Dar Ukubwani baada ya kutoka huko ushagoo kwao.
Tena huyu dogo inaonekana ni wa Igunga kwa akina Shishi.Hawa ndo wale wanaozan maisha yapo Dar tu, wanashindwa kuendeleza miji yao, wanaacha miji yao ikidumaa na kulala fofo, hii nchi ina vijana wa ajabu sana.
Thanks manSipo Kahama, ila niliwahi kufanya kazi huko kwa miaka mitatu. Kiukweli ni mji unaokuwa sana. Kwa wakati wako ukipata hata 200,000/- (chakula/ lodge/ safari za ndani) lnakutosha sana utaujua mji vizuri.
Mji umepanda hadhi ndani ya muda mfupi sana kutoka imetoka kuwa Kuwa Halmashauri ya wilaya na kuwa Halmashauri ya mji 2012 na 2020 ikawa Manispaa kamili. Kasi ya ukuaji ni kubwa sana Boss.
Bila shaka unatania tu hauko serious.Kahama karibu wataifikia igunga kwa kiwango kikubwa cha biashara![]()
Vipi ukilinganisha kahama na chalinze, ipi iko juuTena huyu dogo inaonekana ni wa Igunga kwa akina Shishi.
Shishi mwenye alisema harudi igunga anakomaa na jiji la dasalam.Tena huyu dogo inaonekana ni wa Igunga kwa akina Shishi.
Chief kahama ni levo nyingine kabisa..kwenye miji inayokua Tz.Vipi ukilinganisha kahama na chalinze, ipi iko juu
Vituo vya Mafuta vilivyopo Wilaya ya Kibaha tuu vinaujaza mji mzima wa Kahama...Wanasema tembea uone sio kuhadithiwa bwana. Wilaya ya Kahama hipo mkoa Shinyanga na ukanda wa Ziwa Victoria.
Uzuri wa Kahama ni mji unaokua kwa kasi sana ukilinganisha na sehemu nyingine ambazo mpaka mkono wa Serikali kusukuma.
Kwa idadi ya vituo vya kujazia mafuta Kahama kukadilia vinafika 50 na kitu yani ushindwe wewe kujaza mafuta .
Mji wa Kahama fursa za biashara na mawazo mapya ya biashara yapo hapa.
Wahamiaji toka mikoa mbalimbali ni wengi yani kiufupi kuna idadi kubwa ya watu toka mikoa mbali mbali na nje ya nchi.
Kahama kimapato kiukweli hipo vizuri na ndio maana hata ripoti za mapato toka TRA utaja sana sehemu hii.
Halmashauri na wilaya ya Kahama zinajitahidi sana kuboresha baada ya kuwa manispaaa sasa.
Wadau na wengine mkiona mnabanana mjini maana kama Dar bila mtaji wa kuanzia milioni 30 wewe ni machinga.
Njoo mje mjionee fursa na kutoa mjini na kuleta huku kama mtalalamika.
Asanteni naelekea Mwanza sasa
Sawa..ila huwezi linganisha kibaha..bagamoyo na kahama..Vituo vya Mafuta vilivyopo Wilaya ya Kibaha tuu vinaujaza mji mzima wa Kahama...
Bado vya Wilaya za B'moyo,Temeke,Ilala na Kino
Analinganisha Halmashauri ya Manispaa iliyojitengenezea hadhi ya kuwa Manispaa kwa nguvu zake na Halmashauri za wilaya [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Sawa..ila huwezi linganisha kibaha..bagamoyo na kahama..
#MaendeleoHayanaChama