Mji wa Karatu unaongoza kwa Wanawake wazuri

a) 20-25 hapo mkuu
Unaandika vitu vingi sana,nikataka kujua umri wako ili nikamilishe research yangu ndogo ya umri mkubwa au mdogo na it's effect kwenye kujua vitu vingi tofauti tofauti.
 
Vipi hawajafanyiwa tohara?
Maana maeneo hayo wanapenda sana kuharibu utamu wa mwanamke.
 
Unaandika vitu vingi sana,nikataka kujua umri wako ili nikamilishe research yangu ndogo ya umri mkubwa au mdogo na it's effect kwenye kujua vitu vingi tofauti tofauti.
Mimi siwezi andika neno moja kama yule member kila uzi anaaandika "aisee..." ndio ashamaliza hivo. Ndo maana siandiki thread, litakuwa gazeti. Unakuta nachomekea idea kwenye uzi
 
Malaya sana hao wadada..mimi ninafanya kazi hapa toka mwaka jana mwanzoni,aisee hawana tabia nzuri kwa kweli,kuoa hawa ni mpaka uwe mlevi mlevi tu wa virabuni usiye jitambua
 
Jana nmepitia hapo nmewasaka mbn siwaoni nmeenda adi hapo Red Stone na Sparrow holla naenda zangu Arusha kuwatafuta
 
Back
Top Bottom