Waziri ummy ajiuzulu kwa sababu watu wanakufa hovyo kwa uzembe wa rais magufuli ? Siyo Tanzania hiyoo
Usini quote tafadhali.usiniharibie sikuKuna ndugu yako amekufa? Au mihemuko ya jamii forum inakuendesha?
Kwa hiyo wewe unasubiri mpaka ndugu yako afe kwa korona ndiyo akili yako iwe timamu?Kuna ndugu yako amekufa? Au mihemuko ya jamii forum inakuendesha?
Ummy Ally Mwalimu siyo Doctor. Ni mwanasheria mwenye LLB ya UDSM na Masters ya Sheria ya Pretoria.Hivi taaluma Ya my. Umy Ni Ya u doctor wa masawala Ya afya au ni level Ya elimu yake?
Wewe jamaa ni mpuuzi sana na sidhani kama ni miongoni mwa watu waliozaliwa na binadamu wewe itakuwa ulizaliwa na mnyama wa polini au ulipandikizwa mbegu kwenye mashine. kwani haujawahi kuwa na mchango wowote wenye akili ambao unaweza kutuondoa kwenye matatizo yanayolikabili ili taifa zaidi ya kuleta hoja za kijingajinga ambazo hazionyeshi kama wewe ni timamu kiakili. Nyooko kabisa.Lete na takwimu za malaria huko
Tatizo akili ndogo hazijaelewa kuwa corona ni mafua tu
Ni vema ungekuwa unawaacha kwanza wenye akili timamu wachangie.Kuna ndugu yako amekufa? Au mihemuko ya jamii forum inakuendesha?
Ujinga ni Kipaji na uzwazwa paLete na takwimu za malaria huko
Tatizo akili ndogo hazijaelewa kuwa corona ni mafua tu
Mkuu ndugu yake na huyo anaitwa Kawe Alumni alinisababishia ban ya miezi miwili.Usini quote tafadhali.usiniharibie siku
Vipi unataka uchukue nafasi yake? Huyo ni askari hawezi kimbia vita!Waziri ummy kuepusha lawama angebwga manyanga tu, hali ilivyo sio kabisa kama mipakani kupo hivyo je ndani kupo vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanakufa hovyo wapi hukoWaziri ummy ajiuzulu kwa sababu watu wanakufa hovyo kwa uzembe wa rais magufuli ? Siyo Tanzania hiyoo
shukrranUmmy Ally Mwalimu siyo Doctor. Ni mwanasheria mwenye LLB ya UDSM na Masters ya Sheria ya Pretoria.
Walichelewa kufanya maamuzi.Mji wa Nakonde unaopakana na Tunduma iliyo Tanzania unapata maambukizi mapya ya COVID 19 ndani ya saa 24 zilizopita kuliko mji mkuu wa Lusaka kwa mujibu wa wizara ya afya ya Zambia.
Wakati haya yakiendelea kwa upande wa Tanzania tunaarifiwa kuwa waziri wa afya yupo katika hatua za mwisho kuondoka wizarani hapo baada ya kutokuridhishwa na mwenendo mzima wa serikali kukabili suala la COVID 19
View attachment 1448228