Mji wa Nakonde ulio mpakani mwa Tanzania na Zambia wapata maambukizi ya COVID 19 ya kufuru! Ndani ya saa 24 watu 202 waambukizwa

Mji wa Nakonde ulio mpakani mwa Tanzania na Zambia wapata maambukizi ya COVID 19 ya kufuru! Ndani ya saa 24 watu 202 waambukizwa

Yaani mnaishia KUPAYUKA tu, pasiko kujenga hoja ya nini kifanyike wakati huu? Inasikitisha sana kuwa na raia wa mfano wako.
Wamesoma lakini hawajaelemika,kazi kweli kweli.
 
Lete na takwimu za malaria huko

Tatizo akili ndogo hazijaelewa kuwa corona ni mafua tu
Acha ujinga ,malaria inadawa na inatibika.C-19 haina dawa hata ikiuwa mtu mmoja.Kwa mini Ebola watu wanataka macho hata alikipata mtu mmoja.Acha ujinga wa kipungavu wewe
 
Na kwa taarifa tu:
1. Tunduma ni kubwa sana kukiko Nakonde - hasa eneo linalokaliwa na watu.
2. Watanzania ni kusema wameivamia Nakonde kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi - hasa biashara. Ikumbukwe Watanzania wana maduka Nakonde.
3. Kabla na hata baada ya kutanua mpaka, si rahisi kujua tofauti ya Nakonde na Tubduma. Watanzania huenda kuhemea mahitaji yao ya kawaida Nakonde kana kwamba wanaenda mtaa mwingine.
4. Je unaweza kukisia maambukizi ya Covid Tunduma? Sina lengo la kuwatisha.
Wangeshirikiana kwa pande zote mbili za Nakonde na Tunduma kuwapima watu wote ili kujua ukubwa wa tatizo,na kuchukua hatua mara mmoja.
Kama kweli idadi ya maambukizi ya Nakonde ni ya kweli,basi Tunduma maambukizi yanaweza kuwa makubwa sana,sio ishara nzuri.
Corona sio siasa ni kirusi hatari hakiogopi una mabavu kiasi gani au una degree ngapi ni maangamizi kwa kwenda mbele.
 
Nakonde na Tunduma ni kama mitaa ya mji mmoja.
 
Lete na takwimu za malaria huko

Tatizo akili ndogo hazijaelewa kuwa corona ni mafua tu
We kituko umeambiwa maambukizi ya covid19 itabidi moderators waweke utaratibu interview kabla watu hawajaingia humu maana kuna mazombie mengi
 
Back
Top Bottom