Mji wa Nakonde ulio mpakani mwa Tanzania na Zambia wapata maambukizi ya COVID 19 ya kufuru! Ndani ya saa 24 watu 202 waambukizwa

Mji wa Nakonde ulio mpakani mwa Tanzania na Zambia wapata maambukizi ya COVID 19 ya kufuru! Ndani ya saa 24 watu 202 waambukizwa

Ngoja kwanza tumalize kucheza gombesugu. Kufuka nyungu ni sehemu ya hilo gombesugu.

Hapo tutasema corona wanayo wao wanatupakazia sisi.
 
Ummy akiachia ngazi Magufuli atamteua Mwigulu. Wanaendana yani wote magarasa. Mwigulu alishauri tusipime kabisa na tusitaje data yoyote. Hahaha. Yani kazi ipo.

TISS kimyaa. Uzuri covid haijawahi kuni let down.
Imemdondosha mdogo wake yule boss wa usalama. Na wasipokuwa makini itakula pale top 3
Mara ya mwisho nilimuona Kayafa akikohoa kohoa sana... Baada ya hapo alisusia vikao vyote vya online vilivyofuata...
Labda Top 1 anapambania uhai wake...
 
Na kwa taarifa tu:
1. Tunduma ni kubwa sana kukiko Nakonde - hasa eneo linalokaliwa na watu.
2. Watanzania ni kusema wameivamia Nakonde kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi - hasa biashara. Ikumbukwe Watanzania wana maduka Nakonde.
3. Kabla na hata baada ya kutanua mpaka, si rahisi kujua tofauti ya Nakonde na Tubduma. Watanzania huenda kuhemea mahitaji yao ya kawaida Nakonde kana kwamba wanaenda mtaa mwingine.
4. Je unaweza kukisia maambukizi ya Covid Tunduma? Sina lengo la kuwatisha.
 
Ukimya wa mamlaka kutotoa takwimu za huu ugonjwa kwa kisingizio cha uchunguzi wa maabara ni kutukosea wananchi.
 
Waafrika hatuna tabia ya kuachia nafasi kirahisi hivyo.
Jiwe mwenyewe ambaye alipaswa aachie ngazi tangu 2016 lakini mpaka leo ndiye anajiona mfanyakazi bora kuliko wote
 
Ummy akiachia ngazi Magufuli atamteua Mwigulu. Wanaendana yani wote magarasa. Mwigulu alishauri tusipime kabisa na tusitaje data yoyote. Hahaha. Yani kazi ipo.

TISS kimyaa. Uzuri covid haijawahi kuni let down.
Imemdondosha mdogo wake yule boss wa usalama. Na wasipokuwa makini itakula pale top 3
Bila data lazima tutabakia kama kisiwa cha covid
 
Kuna ndugu yako amekufa? Au mihemuko ya jamii forum inakuendesha?
Lete na takwimu za malaria huko

Tatizo akili ndogo hazijaelewa kuwa corona ni mafua tu
Mabavicha mna kazi kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi unataka uchukue nafasi yake? Huyo ni askari hawezi kimbia vita!
Watu wanakufa hovyo wapi huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaquotiwa vizuri, labda usicomment, jibu swali lake

Sent using Jamii Forums mobile app
hawezi jibu.akijujibu naacha kuwatafuna.
wazushi sana hawa vitumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya corona watu ilikiwa hawafi kwa magonjwa mbalimbali hapa Tanzania. Za kuambiwa changanya na zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri nyie wote niliowaquote nilishawa ignore,ngoja siku huu ugonjwa ubishe hodi kwenye familia zinazowanguka tuone Kama mtakuja hapa na huu ugoro wenu

ugonjwa nishaupata na umeisha kwa sababu sina chuki na tanzania yangu nchi ya baba na mama yangu.

sasa ngoja ukupate wewe na familia yako ukukaushe kwa sababu ya chuki na kuiombea mabaya tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia sikia RC ameenda kuwatia moyo wana Tunduma leo kwa kuwaambia huu ni muda mzuri wa kuchapa kazi, na kuwatishia wana wa Lungu kuwa uhusiano nao upo mashakani kwani wamefanya kosa sana kuziba lile get I.
 
Back
Top Bottom