Mji wa Nakonde ulio mpakani mwa Tanzania na Zambia wapata maambukizi ya COVID 19 ya kufuru! Ndani ya saa 24 watu 202 waambukizwa

Lete na takwimu za malaria huko

Tatizo akili ndogo hazijaelewa kuwa corona ni mafua tu
Unafanana sana na Chapombe Mwita Waitara, kama wewe siyo yeye akili zako ni zake.
 
Yaani mnaishia KUPAYUKA tu, pasiko kujenga hoja ya nini kifanyike wakati huu? Inasikitisha sana kuwa na raia wa mfano wako.
Wamesoma lakini hawajaelemika,kazi kweli kweli.
 
Lete na takwimu za malaria huko

Tatizo akili ndogo hazijaelewa kuwa corona ni mafua tu
Acha ujinga ,malaria inadawa na inatibika.C-19 haina dawa hata ikiuwa mtu mmoja.Kwa mini Ebola watu wanataka macho hata alikipata mtu mmoja.Acha ujinga wa kipungavu wewe
 
Wangeshirikiana kwa pande zote mbili za Nakonde na Tunduma kuwapima watu wote ili kujua ukubwa wa tatizo,na kuchukua hatua mara mmoja.
Kama kweli idadi ya maambukizi ya Nakonde ni ya kweli,basi Tunduma maambukizi yanaweza kuwa makubwa sana,sio ishara nzuri.
Corona sio siasa ni kirusi hatari hakiogopi una mabavu kiasi gani au una degree ngapi ni maangamizi kwa kwenda mbele.
 
Nakonde na Tunduma ni kama mitaa ya mji mmoja.
 
Lete na takwimu za malaria huko

Tatizo akili ndogo hazijaelewa kuwa corona ni mafua tu
We kituko umeambiwa maambukizi ya covid19 itabidi moderators waweke utaratibu interview kabla watu hawajaingia humu maana kuna mazombie mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…