Mjinga anapopata madaraka sio hatari, hatari ni ule mfumo anaoujenga

hatari zaidi ni pale baadhi ya watu na vyama vyao Africa,
kwasababu ya mihemko yao useless na kukosa maarifa,
wanadhani eti wana haki ya kulipua vituo vya mafuta, kulipua vituo vya polisi, kuharibu miundombinu, kupiga, kuumiza watu na kuwaangamiza, halafu eti wanategemea watakenuliwa tu na vyombo vya ulinzi na usalama, na kuachwa wafanye wanavyotaka kwasababu wametumwa na mabwenyenye ya magharibi ambao ni adui wakubwa wa umoja wa Africa.

Niwahakikishie tu ndugu wafuata mkumbo na mamluki wote katika siasa kwamba,
hakuna chama cha siasa na wafuasi wao Africa,
wataruhusiwa kuvuruga umoja, amani na usalama wa wananchi wa Africa kwa nanmna yoyote ile.

Umoja, amani, na usalama wa wananchi kote Africa vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile ya waafrika wazalendo. Akili za kusababisha fujo na ghasia mkazitumie huko huko kwao kwa waliowafundisha hivyo.

Africa itaendelea kua imara na salama zaidi katika mfumo wa demokrasia na utawala ulioko sasa na unaoendelea kujengwa kipekee na mataifa moja moja kulingana na kujipenyeza kwa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibia ambao ni maadui wa umoja, amni na usalama wa Africa.
 
Mfumo mzuri ndiyo kila kitu, tukitegemea tu uzuri wa kiongozi mambo hayataenda.

Tukiwa watu wa kuwategemea tu ubora/ ukamilifu wa kiongozi hatutakwenda kokote sababu atakuja kiongozi mzuri atakayefanya mazuri, lakini pia atatokea kiongozi atakayeharibu yale yaliyofanywa na mtangulizi wake.
 
Mpewa madaraka mpumbavu hufa bila kujua.
 
John pombe joseph magufuli
Huyu ndiyo mfano wa kiongozi mjinga, aliyewahi kuzungukwa na wajinga. Ndiyo ulikuwa mwanzo wa matukio mengi na mfululizo ya kikatiri. Ndiye mtu aliyechukia sana wenye hekima na wakweli. Ndiye mwanzo wa kuangamia kwa taifa letu.
 
Mwanangu umepiga kwenye mshono! Hii imeendaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…