Mjinga mmoja wa IT ameniulia gari langu

Pole sana mkuu
 
Pole sana ndio maana tunashauri uwe na comprehensive insurance aka bima kubwa.
 
Ajali za barabarani ziskie tu, hapo alikuwa anwahi K-Vant
 
Sema gari inapona hiyo vitu vyote vipo ilala hapo watafute wataalamu wa kunyosha body Ila nunua hivyo vitu sijui fender zote bonnet,taa,shocks,radiator inarudi road yupo jamaangu aligonga ng'ombe na Benz yake ilikua chakavu mbele lakini ilivyorudi utadhani haikupata ajali ila kanunua vitu vyote maana ina bonnet ya aluminium haikubali kunyooshwa ni ya 2018 ila hela imetoka aisee...
 
Pole saana mkuu. Hilo balaa linaonesha sio la kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…