Mjinga mmoja wa IT ameniulia gari langu

Mjinga mmoja wa IT ameniulia gari langu

Wakuu, salamu zenu! Juzi natoka zangu Dom, Mdogo mdogo narudi zangu Dar! Basi nafika zangu pale Msolwa, mshenzi mmoja asiye na staha barabarani, anajifanya ana haraka ana overtake kijinga jinga! Tumekutana uso kwa pua, Ashukuriwe Mungu baba kwa kunitoa salama! Ila huyu mjinga nitadili naye sana tu naahidi hiliView attachment 1740392
Pole sana mkuu
 
Pole sana ndio maana tunashauri uwe na comprehensive insurance aka bima kubwa.
 
Wakuu, salamu zenu! Juzi natoka zangu Dom, Mdogo mdogo narudi zangu Dar! Basi nafika zangu pale Msolwa, mshenzi mmoja asiye na staha barabarani, anajifanya ana haraka ana overtake kijinga jinga! Tumekutana uso kwa pua, Ashukuriwe Mungu baba kwa kunitoa salama! Ila huyu mjinga nitadili naye sana tu naahidi hiliView attachment 1740392
Ajali za barabarani ziskie tu, hapo alikuwa anwahi K-Vant
 
Sema gari inapona hiyo vitu vyote vipo ilala hapo watafute wataalamu wa kunyosha body Ila nunua hivyo vitu sijui fender zote bonnet,taa,shocks,radiator inarudi road yupo jamaangu aligonga ng'ombe na Benz yake ilikua chakavu mbele lakini ilivyorudi utadhani haikupata ajali ila kanunua vitu vyote maana ina bonnet ya aluminium haikubali kunyooshwa ni ya 2018 ila hela imetoka aisee...
 
Wakuu, salamu zenu!

Juzi natoka zangu Dodoma, Mdogo mdogo narudi zangu Dar! Basi nafika zangu pale Msolwa, mshenzi mmoja asiye na staha barabarani, anajifanya ana haraka ana overtake kijinga jinga! Tumekutana uso kwa pua, Ashukuriwe Mungu baba kwa kunitoa salama! Ila huyu mjinga nitadili naye sana tu naahidi hili

View attachment 1740392
Pole saana mkuu. Hilo balaa linaonesha sio la kitoto.
 
Back
Top Bottom