Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Halipwi chochote pale .. Kumbuka ile ni ajali ni jambo la dharura ... Labda kama tu mwenye gari hatataka gari yake iende polisi au ilale polisi hapo ndio anaweza kumalizana na mwenye gariOkay sawa
Yule dereva wa break down naomba kujua siku ya ajali analipwa na nani, polisi?
Wao hesabu yao sio ya siku