Mjini kumenoga; Harmonize kufanya interview Clouds Fm

Kisha achia nyimbo ya Uno audio na itazinduliwa nchi tatu,TZ tar 24,KE tar 25 na UG tar 26.
 
Kwahiyo ulitaka afanye nini!? Ajifungie chumbani asifanye promo ya kaz zake? Hiyo si media tour kama wanazofanya wengine?? Leo kaanzia efm, anaenda xxl na amalizia times fm kwenye playlist!!

Wabongo mbona mnakuwa wachawi wachawi sana?
 
Muda ni hakimu mzuri sana kwa kila jambo..........Tutashuhudia mengi.
 
Naona Kama Clouds wanaongeza mashambulizi zidi ya Mond baada ya Kiba Asley na Mario kushindwa wameamia kwa mmakonde tatizo la Clouds wanakusifia na kukupoteza Harmonize anakosea sana kwa anayo yafanya atapotea tu.

View attachment 1242802
Mmakonde hana shukrani time will tell but hawe makini na moyo wake,but asiweke bifu na diamond king wa bongofleva .
 
Jamani waliosikiliza uno watuambie kama jina linasadifu yaliomo.
 
Awe makini sana na waTZ n wanafiki kupita maelezo#mawingu FM.
 
Nyimbo yake mpya nimeisikiliza ni mzuri sana uzuri wa huyu mtu ni kwamba anajua mziki wa sasa unataka nini coz amekaa na watu wanaoujua mziki kwa muda mrefu kwahiyo iyo experience itamsaidia sana
 
punguza jazba usipanic namna hii.

umepata chakula cha mchana kwelii??
 
Huwa nashangaa sana watu kumfanisha na kumpambanidha konde na mondi konde mwenyewe anasema mondi ndyo rolemodel wake kwenye maisha yake hyo ni mtoto tu ataendelea kuwa chini ya mondi
 
Acha uongo aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…