joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kisha achia nyimbo ya Uno audio na itazinduliwa nchi tatu,TZ tar 24,KE tar 25 na UG tar 26.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akikujibu hii unitag.kwani Diamond anahusikaje hapo??
Ila ngoma mbovu balaaaaKama ilivo
media tourSijui Ana enda kuongea nini uyu dogo
Mmakonde hana shukrani time will tell but hawe makini na moyo wake,but asiweke bifu na diamond king wa bongofleva .Naona Kama Clouds wanaongeza mashambulizi zidi ya Mond baada ya Kiba Asley na Mario kushindwa wameamia kwa mmakonde tatizo la Clouds wanakusifia na kukupoteza Harmonize anakosea sana kwa anayo yafanya atapotea tu.
View attachment 1242802
Mmmmmmmmmh nyimbo kama undergroundNdio anaachia ngoma ya "UNO"?
Mmmmmmmmmh mbona mbovu sana kuliko promoKisha achia nyimbo ya Uno audio na itazinduliwa nchi tatu,TZ tar 24,KE tar 25 na UG tar 26.
Kamsifia mondi eti ni hatariJamani waliosikiliza uno watuambie kama jina linasadifu yaliomo.
Jamani waliosikiliza uno watuambie kama jina linasadifu yaliomo.
punguza jazba usipanic namna hii.Unaweza kuthibitisha wana ugomvi kati hao uliowataja?
Radio one, Capital Radio na ITV wanapiga ngoma za WCB zote je unajua kwanini EATV &RADIO hawapigi?
Clouds plus, Coconut FM na Choice FM wanapiga ngoma za WCB je unajua kwanini CTV na CFM hawapigi?
Muachege ushamba wivu na chuki zenu mlizonazo pelekeni leba ukikasirika meza wembe
Acha uongo aisee..Unaweza kuthibitisha wana ugomvi kati hao uliowataja?
Radio one, Capital Radio na ITV wanapiga ngoma za WCB zote je unajua kwanini EATV &RADIO hawapigi?
Clouds plus, Coconut FM na Choice FM wanapiga ngoma za WCB je unajua kwanini CTV na CFM hawapigi?
Muachege ushamba wivu na chuki zenu mlizonazo pelekeni leba ukikasirika meza wembe