Mjini kumenoga; Harmonize kufanya interview Clouds Fm

Clouds siwaamini kabisa, hapo wamefurahi coz wanajua watamtumia vyema kama kivutio cha fiesta ya Dar then watamuweka kwenye Dustbin
 
Naona Kama Clouds wanaongeza mashambulizi zidi ya Mond baada ya Kiba Asley na Mario kushindwa wameamia kwa mmakonde tatizo la Clouds wanakusifia na kukupoteza Harmonize anakosea sana kwa anayo yafanya atapotea tu.

View attachment 1242802
katika redio ya kiafiki ni hii stupid mothercyckers kwani jamaa tofauti iko wapi , kama alikuwa anatoa ngoma kipindi akiwa wcb kwani walikua hawazisikilizi mobna waliku hawajawahi kumuita wangese sana hawa....halafu hakuna vijana wanao ona wameyaptia maisha kama lile crew la clouds fm
 
Watanzania tuna shida moja kubwa Sana. Ukiacha mbali kuwa sisi wenyewe hatuna udhubutu ila tunachukia watu wengine wakiwa na udhubutu. Harmonize katoka WCB mlitaka aishi vipi? Aendeleze mabifu ambayo yeye binafsi hayamuhusu? Hapana ni wakati wake sasa yupo huru na anatakiwa kuwa huru kweli kweli
 
Naona Kama Clouds wanaongeza mashambulizi zidi ya Mond baada ya Kiba Asley na Mario kushindwa wameamia kwa mmakonde tatizo la Clouds wanakusifia na kukupoteza Harmonize anakosea sana kwa anayo yafanya atapotea tu.

View attachment 1242802
clouds hawampotezi msanii ila wasanii ndio wanaojipoteza
hv we unazan clouds wakamuandikie alikiba nyimbo au wazidi piga nyimbo moja ya alikiba mwaka mzima eti sababu ni msanii mkubwa hata wasikilizaji wanachoka kila siku wanataka kusikiliza nyimbo mpya
Tunga nyimbo nzuri watu waipokee nafasi utapewa
 
Tunga nyimbo nzuri watu waipo

You are very smart upstairs ni wapuuzi tu ndio wanaoamini clouds inawapoteza wasanii ukiwauliza how majibu hawana? Mfano chidbenz huyu jamaa ni miongoni mwa best and talented rapper but jamaa alijipoteza mwenyewe kwa kubwia miunga akawa hatoi ngoma akadhoofu kiakili na kimwili unataka clouds wafanyaje? Alikiba anatoa ngoma moja miaka kila baada ya miaka 2 unataka clouds wafanyaje? Nandy mbona hajapotea,? Blue mbona hawajamtumia na kumtupa? John makini,gnako,Nikki mbona hawajawatumia na kuwatupa?
 
Mmakonde hana shukrani time will tell but hawe makini na moyo wake,but asiweke bifu na diamond king wa bongofleva .
Ali Kiba ameshakuwa zilipendwa. Harmonize ni upepo wa kisulisuli anakoelekea atawasomba wakina Lavalava na Queen Darlin
 
Huwa nashangaa sana watu kumfanisha na kumpambanidha konde na mondi konde mwenyewe anasema mondi ndyo rolemodel wake kwenye maisha yake hyo ni mtoto tu ataendelea kuwa chini ya mondi
Ali Kiba ameshakuwa zilipendwa. Harmonize ni upepo wa kisulisuli anakoelekea atawasomba wakina Lavalava na Queen Darlin
 
Watanzania tuna shida moja kubwa Sana. Ukiacha mbali kuwa sisi wenyewe hatuna udhubutu ila tunachukia watu wengine wakiwa na udhubutu. Harmonize katoka WCB mlitaka aishi vipi? Aendeleze mabifu ambayo yeye binafsi hayamuhusu? Hapana ni wakati wake sasa yupo huru na anatakiwa kuwa huru kweli kweli
Harmonize ni upepo wa kisulisuli anakoelekea atawasomba wakina Lavalava na Queen Darlin
 
Back
Top Bottom