PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
kwani hao mabinti wameolewa na huyo kijana?Wananikimbusha lile farangati la wake za mzee Yusuf,ila wale bora maana Leyla alikuwa mkimya.Sasa hawa wake za Chibu wote wamekutana ngangari.Uke wenza mimi siuwezi.
Umeona eh! Zari anashindana na huyu mtoto mdogo atamtoa makamasi. Mondi keshachokaaa kupanda ndege south east, east south alimwaga manyanga kitaaaaambo. Huu ujasiri wa Misa ipo sababu. Ukizingatia mondi ana mashaka na mtoto wa kwanza kutoka mwisho oops wa tatu kutoka kwanza anyways huyu anaona aliuziwa mbuzi kwenye gunia. Zari mshari lakini Misa mgomvi changanya mbili moto!Hear say nasikia baba Dully-Latifa mwenyewe anamkandya Zari, Amisa asingeleta ushabiki maandazi hata nyumba angenunuliwa.
Mmmh mmmh mmmhmmmmm wote ni 'come to/we stay maisha yasonge.....'kwani hao mabinti wameolewa na huyo kijana?
duh!!!wanawake wa Bongo wachawi sana..alafu wengi wanaonekana hata **** hawajui kuziosha
[emoji106]Mie namuona mtu poa huyu ila usimparue au kuingia kwenye anga zake. Best ungekuwa wewe limekutokea hili baada ya minong'ong'ono ya muda mrefu ungekaa kimya!? Ila wote hawa bado wanapendana kwa sasa naona pamoja na kuwa penzi limetikisika wataendelea kuwa pamoja lakini ikitokea tena hakutakuwa na msalie mtume.
Alipaswa a deal na mzazi mwenziwe sio vijembe kwa mwanamke mwenzie aliyetongozwa km yeye na njaa za mjini hapa ni ngumu kukataaMie namuona mtu poa huyu ila usimparue au kuingia kwenye anga zake. Best ungekuwa wewe limekutokea hili baada ya minong'ong'ono ya muda mrefu ungekaa kimya!? Ila wote hawa bado wanapendana kwa sasa naona pamoja na kuwa penzi limetikisika wataendelea kuwa pamoja lakini ikitokea tena hakutakuwa na msalie mtume.
Goes around comes back harder 30 times na kuzaa juu maana wema si mgumba alivyokua anamuita!!Malipo ni hapa hapa wanawake tunajisahau sana zari alimtesa sana wema alimkashifu sana wema akaona kisa anapesa atamkamata diamond hakujua mwanaume nikama fagio [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] I swear am happy for this siku zote kunya anye kuku akinya bata kaharisha pia huyo mobeto yaonyesha kitandani yupo vizuri zari kitandani bado [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] but ajue mwanaume ni mwanaume usimthamini mwanaume siku yoyote anakubwaga
Usisahau ' kushake' hahahahaHayanihusu ngoja nikakojoe nilale.
Kweli kabisa kuna pesa na mapenziNachoamini Mimi Diamond hata amrudie zari sio kuwa unampenda no ni kwaajili ya pesa ndio maana siku zote nasema mapenzi ya dhati hayajengwi kwapesa kama yanajengwa kwapesa diamond angetulia hakuna alichokosa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijaelewa laki 2 inaingiaje apo? Au kwavile mi ni Dume!?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] shoga utaitwa msaga sumu loohh!Hahahahahahahaha furaha nilionayo kubwa sana zari pambana Na hali yako malipo mumeo Ivan Na wema hahaha
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] arudi akae bongo walee ndoa distance love ni ngumuUmeona eh! Zari anashindana na huyu mtoto mdogo atamtoa makamasi. Mondi keshachokaaa kupanda ndege south east, east south alimwaga manyanga kitaaaaambo. Huu ujasiri wa Misa ipo sababu. Ukizingatia mondi ana mashaka na mtoto wa kwanza kutoka mwisho oops wa tatu kutoka kwanza anyways huyu anaona aliuziwa mbuzi kwenye gunia. Zari mshari lakini Misa mgomvi changanya mbili moto!
sio dudu ni pesa.. kama dudu mbona hawakugombanii wewe maskini/fukara mwenzanguBORO HALIJAWAH KUMUACHA MTU SALAMA. YANI WANAGOMBEA DUDU AHAHA
Acha acheke shoga yangu toka lini mwanamke akampenda Mke mwenzie yaani kiukweli zari alimtenda sana mumewe Ivan akaja akamtukana sana wema hakujua kuwa mboo za selengeti boys hazijawahi kumuacha mtu salama [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji2] yaani kiukweli nikisema namhurumia nitakuwa mnafki hapana chezea diamond[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] shoga utaitwa msaga sumu loohh!
Ila wema huko aliko cheko la nguvuuuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji6] [emoji6] alijiona kafika kigoma mwisho wa reli...mwisho wa siku kakutana na jeuri mwenziee bampa to bampa!Acha acheke shoga yangu toka lini mwanamke akampenda Mke mwenzie yaani kiukweli zari alimtenda sana mumewe Ivan akaja akamtukana sana wema hakujua kuwa **** za selengeti boys hazijawahi kumuacha mtu salama [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji2] yaani kiukweli nikisema namhurumia nitakuwa mnafki hapana chezea diamond